School Room (Classroom)

School Room (Classroom)

Xuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
683
Reaction score
196
d7647633a5dfacdb503b5aa65e785e0a.jpg
 
Harafu wanatuambia hapa kazi tu kweli ndege ndio itakayo weza madirisha mandhali ya chumba hicho kuvutia watoto kusoma na kufaulu
 
tupo bize na flyover ya ubungo, tunafanya vitu vikubwa kubwa ambavyo vitatupa heshima miaka 100 mbele
 
Kuna kusoma na kuelewa hapo kweli??
Mtoto akiamka asubuhi kujiandaa kwenda shule kichwani anajua anaenda kuumia tu
 
Picha imenisikitisha kwa kweli ina maana wameshindwaa hata kumuwekea jiwe akae angalau kuliko kupiga magoti akitoka hapo maumivu.
 
Wadau wengi tumeendekeza "mihemko"
Tumejiuliza hii picha imepigwa lini?Miaka mitano iliyopita?mwaka jana?Juzi ama jana ama leo???
Imepigwa Kenya,Uganda,Somalia,Sudan ama Tanzania?
Baada ya kujua hayo kutoka kwa mto mada sasa tunaeza weka hoja zetu bila kuendekeza ushabiki

Sent using Jamii Forums mobile app

Fikiria kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom