‘school bus’ la utata lanaswa na polisi dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

‘school bus’ la utata lanaswa na polisi dar

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Apr 4, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Pick-Up hii aina ya Toyota leo mchana imenaswa na askari wa usalama barabara maeneo ya Posta ya zamani jijini Dar es Salaam ikifanya shughuli za kuwapeleka na kuwarudisha majumbani wanafunzi wa shule moja ya awali ikijulikana kama “School Bus” licha ya kuwa katika hali ya kuhatarisha usalama wa wanafunzi hao. Pichani ni wanafunzi waliokuwa wamebebwa katika gari hilo wakivuja jasho chini ya turubali lililofunika gari hilo kushika joto la jua. Kulia ni msimamizi wa wanafunzi hao.

  2.jpg


  “School Bus” hilo likipelekwa kituo cha polisi kwa uchunguzi zaidi.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hii kali...
   
 3. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Eh bwana eh hii ndiyo matokeo ya too many st. bla bla
   
 4. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Jamani hivi wazazi wa hawa watoto hawakuwa kuliona hili? watoto wanatia huruma masikini hata hawajui kinachoendelea...
   
 5. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Poor kids! They are so cute and don't deserve that. Hata mwalimu wao anahangaika kuweka **** kwenye mlango. Umaskini huu bwana...
   
 6. sister

  sister JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  jamani huruma, na turubai lilivyo na joto.
   
 7. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Wazazi wao nao sijui hawana akili?utakubalije mwanao abebwe kwenye gari ya mizigo amekuwa viazi huyo mtoto?
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Rahisi nayo ina gharama yake...
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  umasikini hauna nafasi hapo,ni kutokujali tu.
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Tujiulize wazazi wao hawalijui hilo?
   
 11. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Duh hiii ni balaa
  hao wazazi wao wako wapi au walikuwa hawalijui hilo la watoto kubebwa kwenye pick up yenye turubali
  Na hao walimu au huyo mwenye shule aliona kabisa hilo ni gari la kubebea wanafunzi
  Hii biashara ya mtu anaanzisha shule nyumbani kwake na wazazi wanadanganywa wanapeleka watoto huko matokeo yake ndio haya
  Poor kids hata hawajui kinachoendelea
  Na mwalimu mwenyewe mbona nguo kama fupi sana kuwakalia wattoto mapaja yako nje anafundisha nini
  Au ni kwamba watoto wakitoka hapo wamefuzu kila kitu
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,908
  Trophy Points: 280
  Mkuu kumbe upo huku?nimekutana na bango la WANTED kule jukwaa la siasa na chini kuna jina lako. Pse hebu nenda tuu kule msamaha wako ushatangazwa.tehe tehe!
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  kusema wazazi hawalijui hilo hainiingii kichwani, yaani kweli gari analobebewa mwanao hulijui?
  Juzi hapa yamemfika mzazi mwenzao, hata kama mtu hukuwa na utaratibu wa kuFuatilia usafiri wa shule wa mtoto, that should have rang the bell in my head...
   
 14. K

  Kamzuzu Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Saivi kila mtu anamiliki shule bado mimi tu ila bora wafike kwetu km kadhaa porini ndio ukute shule ikitokea ht baiskeli unashukuru br hao,MUNGU WE WAJUA TUBARIKI WANAO.
   
 15. MANI

  MANI Platinum Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,871
  Trophy Points: 280
  mpaka baada ya wiki ndio watakuwa active kule rejao ndio kimya kabisa.
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Under the tutelage of CCM.......
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Wazazi wanafahamu hilo
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha enzi za CHAI MAHARAGE!

  (Rejao we miss you)!
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi mzazi gani anaruhusu mtoto wake aingie kwenye mazingira kama haya?
   
 20. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280

  Angalau chai maharage zilikuwa na staha kuliko hii suzuki. Huu ni udhalilishaji wa wanafunzi
   
Loading...