Scholarships zinapatikanaje?

Kwanza ni vyema tujue kwa ujumla unapenda kupata scholarships za fani zipi, na pia kwa level gani? Yaani kama ni Bachelor, Masters au PhD....Pia ni vyema kujua una elimu ipi na matoeko yako kwa ujumla ili uweze kupewa ushauri.

Ukijibu maswali hayo nitakuwa in a position ya kukujulisha kukupa ushauri inakuaje.

Au unaweza kuniandikia hapa makulilo@makulilofoundation.org kwa ushauri wa bure.

MAKULILO
 
Back
Top Bottom