Scholarships in U.S.A and CANADA.

Deci si lazima uliwe pesa tanzania hata nje waaana style zao
kalagha bao
 
Kwa anayejua,hawa jamaa ni wa kweli au ni wale scholarships scamers?....Nisaidieni ku confirm maana nimeapply kwa US$45 nataka nikatake Architecture Cartography.Kama nimeliwa nianze upya na mnipe link zingine.
Bofya hapa: Assistance Étudiants Étrangers - Scholarships for foreign students- Bourses pour étudiants étragers

Ndugu Konzogwe,

Hapana hujaliwa pesa yako. Hao jamaa nawafahamu ni wa siku nyingi nimewasikia toka 2003. What they do is give you information on appropriate scholarships you can apply to.

Now some other people who are smarter than you may ask, "why pay for such information which you can find easily on Google?"

What they forget is if something is easy for them it's not necessarily easy for you. Plus depending on the degree program you want and type of scholarhip you may find that searching online could be similar to finding a needle in a hay stack.

So don't worry for you'll get what you paid for. $45 is nothing for someone who wants to move ahead.
 
Dar_Millionaire usimpe moyo Ndugu konzpgwe, yeye amekutana na watu smart wamekula pesa yake 45$, kwa sababu mpaka kuwapata hao Jamaa inamaana amesha search kwe Google na Other Search Engines.

Kilichotakiwa kufanywa na Konzogwe ni fuwafuatilia in details kuhusu hao jamaa Credibility yao na kwa nini wanalipisha watu application fee. Na sio kukimbilia kuwalipa na baada ya kuona kimya jamaa hawaja reply ndio analeta hii ishu ndani ya JF.

Ushauri wa bure kwa wote wanaotafuta Scholarship, msikurupuke kulipa fee ya Application!!! Wewe huna pesa ya kwenda kusoma alafu tena unalipishwa fedha kwa ajili ya maombi!!! Hii haiingii akilini lazima uwe na doubt!!!
 
Kwa anayejua,hawa jamaa ni wa kweli au ni wale scholarships scamers?....Nisaidieni ku confirm maana nimeapply kwa US$45 nataka nikatake Architecture Cartography.Kama nimeliwa nianze upya na mnipe link zingine.
Bofya hapa: Assistance Étudiants Étrangers - Scholarships for foreign students- Bourses pour étudiants étragers
Mkuu, you're looking for scholaship coz' you got no money, right?! Likewise, they're offering scholarships because they've money; am i not right?! So how come a person with no money get asked to provide some money to someone advertised that they have more money?!
 
Pole sana! You were supposed to ask before! Or to be in safer side you were supposed to consult their consular office( Embassy) never repeat the same mistake my friend
 
WAJAMENI EEH!!! Hatimaye jamaa wamentumia bonge la bahasha limejaa vyuo 12,6 usa na 6 cnd,ndani kuna application forms na details kibao! Zikiwemo website....Kifupi nimeanza kuapply on-line nifukuzie fall semester,kwa kuwa time has gone hata kama itakuwa spring semester(2010) sio mbaya.Nawashukuru wote mlionitia moyo hata mlionikatisha tamaa najua siku nyingine ushauri na changamoto zenu ntaziapply katika mambo fulani.Kwa wale wenzangu scholarship hunters napenda niwagawie vyuo viwili tu kimoja us Oklahoma City University na kingine canada www.kingsu.org
 
Last edited:

Hongera kwa hiyo hatua Konzogwe. Jamaa walikukatisha tamaa lakini sasa naona moyo wako umetulia maana wamefanya kile walichokuahidi na wao si matapeli kama watu wengi walivyofikiri.
Nakutakia kila la kheri katika applications zako.
 
Ni kweli ndugu yetu ameliwa!! Mi nakumbuka pia mwaka 2001 nilipokuwa nimehitimu kidato cha sita hawa jamaa nilienda nao hivyo hivyo na kwa kipindi kile matumizi ya mtandao hayakuwa makubwa sana, so walikuwa wanatumia e-mail na postal address pia. walinitumia hadi makabrasha yanayosema kuwa wakishindwa kinpatia scholarship kwa mwaka ule, wangeniunganisha kwa scholarship agents 6 wa USA na sita wa Canada. Baadae ndo wakamiambia ili kufacilitate ilo zoezi niwatumie izo $45. hapo ndo waliponishika sehemu nyeti na ukitegemea nilikuwa sina dili, nilikuwa naona kama wameniambia niwape millioni ivi. Baadae kuna wenzangu walizituma na hadi leo hii hawajui hata njia ya kuellekea USA au CANADA imefananaje!
Kwa kifupi wewe umetoa sadka
 
Basically wamekutoza hela kwa kukufanyia web search, kama wale wanaowasaidia watu kuapply Green Card Lottery kwa small fee wakati Green Card Lottery ni bure.
 
Basically wamekutoza hela kwa kukufanyia web search, kama wale wanaowasaidia watu kuapply Green Card Lottery kwa small fee wakati Green Card Lottery ni bure.
Sure!
Suppose you spent 16 hours or more searching on your own - huduma ya Internet cafe peke yake ungelipia zaidi ya $10. Na je, utafanikiwa kwa kiasi gani ikiwa Internet speed ni hovyo, halafu huna experience ya ku-search kwenye google.
So how much is your one hour worth?
:) Hili swali ni muhimu sana; wengi (employees) hawajawahi kufanya hii hesabu kujua.

Mwaka huu nimejifunza neno moja matata sana, linaitwa "Leverage". And that can mean doing more with less. Donald Trump anasema "Don't work for money, let the money work for you".
 
Back
Top Bottom