Scholarship za elimu ya juu (Masters or PhD)

Scholarship za elimu ya juu (Masters or PhD)

Kaka kupiga Phd...... Ukiwa na GPA ya 3.4 out of 5 (bachelor) na masters GPA ya 4.3 vipi?
 
Hivi bado mnasoma wakati kujiajiri hakuhitaji elimu ya darasani, Masters kwenye kulima matikiti ya nini ? Shame on you guys, kazi hakuna unasoma PhD ili ufanyie nini, mnajaza makaratasi tu
 
Hii mkuu unapata nitakuwekea hapa kesho au weekend data mhimu,,
Mkuu vipi PhD Scholarship in Project mgt au Finance zinaweza patikana? Especially, in English speaking countries?
GPA 4.46 MBA, 4.21 BBA.
 
Hata Mimi natamani kweli masters scholarships... Ndani au nje ya nchi... Nataka kusoma finance,economics or risk management... Msaada wakuu... GPA yangu ya bachelor Ni 4+ out of 5
 
Tunakimbizana kuongeza vyeti, huku hatuna skills za kutengeneza kazi... Umetoka huko na MA yako bado kutwa na bahasha kwenye ofisi za watu... Mtazamo lakini, msikasirike...
 
Kama una GPA nzuri 80% out 100% ni pm lakini uwe tayari kwenda kusoma kokote kule patakapopatikana. GPA ni muhimu kama una GPA kimini zilizopo hazitakufaa,so usinipm tuongee hapahapa.
Mkuu nipe mchongo,Nina GPA 4.2 ya Accounts
 
IELTS means International English Language Testing System and it is a test of English language proficiency. na Test of English as a Foreign Language (TOEFL) is a standardized test to measure the English language ability of non-native speakers wishing to enroll in English-speaking universities. The test is accepted by many English-speaking academic and professional institutions. anaweza akachukua test moja kutoka british council hapo DSM.
Hizo test ni shiida...
 
mabumbe nisaidie aisee mie nina 3.6 Ba with education nahtaji scholarship ila sina hata mia mbovu ya kujisomesha masters
 
Mbona naona naona arts tu ndo mnahangaika na scholarship.
Sijaona science hata moja,

Nkirudi kwenye mada nina GPA ya 2.7 BSc in Geology

Naweza kupata nafasi?
 
Daaaaaaaaaah Nina GPA YA 4.1 Bsc. Agriculture......je naweza kuwa scholarship mkuu MABUMBE
 
Back
Top Bottom