Scholarship Ujerumani (waTanzania changamkieni tenda)

Katoma

Senior Member
Mar 11, 2008
133
10
Nia hasa ni kuwataarifu waTanzania wenzangu hasa wanaomaliza chuo mwaka huu au waliomaliza mwaka jana kuhusu nafasi za Scholarships. Kwa wale wanaotaka kusoma MSc ama PhD
katika Engineering au Life Sciences, ningependa kuwafahamisha kuwa Jacobs University Bremen inatoa scholarships na stipend kibao na inasikitisha kuona waTZ wengi hawafahamu nafasi hizi. Hivyo, nikaona ni vyema kutumia tovuti hii ili niweze kufikisha ujumbe kwa wengi. Masomo yote yanafundishwa kwa kiingereza
na chuo kina jumla ya wanafunzi kutoka nchi 91. Tarehe ya mwisho kwa kutuma maombi ni May 1st 2008. Kwa wale wanaotaka kutransfer ili waingie BSc mwaka wa 2 hapa, pia kuna maombi ya Transfer. Tafadhali nitumie ujumbe kama kuna maswali mwesiga.ruttatelana@googlemail.com ama tazama:

http://www.jacobs-university.de/admission/graduate/10427/index.php

http://www.jacobs-university.de/about/visit/00227/

http://www.jacobs-university.de/testpages/viewbook/index.html

Nashukuru,

Mwesiga
 
Labda nimechelewa kuiona hii ila naona tarehe zimeisha pita siku nyingi mkuu. Ila tunashukuru kwa taarifa hii na wengine jamani mkipata issue muweke hapa. Watanzania wachangamkie. Kuna Mkenya mmoja aliniambia watanzania huwa hawataki kuchangamkia issue " hawako agrecive" ndio maana hata ukienda nje unakuta wachache compared na wao while population ni kubwa kwa karibu milion 8 zaidi yao. Nilimbishia lakini nilijua maneno yana ukweli. Wakuu changamkieni issue.

The links below are US business schools. Take a read at each looking at MBA-Finance.

http://www.kenan-flagler.unc.edu/

http://www.goizueta.emory.edu/

http://www.wharton.upenn.edu/

http://www.fuqua.duke.edu/

http://www0.gsb.columbia.edu/mba

http://www.stern.nyu.edu/

http://www.anderson.ucla.edu/
 
Skukrani kwa info mkuu lakini nimeangalia karibu vyuo vyoote gharama zake ni kubwa mnoo kwa mbongo hapo inakuwa ngumu sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom