Scholarship! Scholarship!

Scholarship! Scholarship!

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
647
Reaction score
566
Habari za wakati huu?wadau hivi ulishawahi kusikia juu ya scholarship hebu jaribu kufuatilia mara kwa mara katika website za wizara ya elimu(moe.go.tz) pia na tume ya vyuo vikuu(tcu.go.tz) utaziona,kwa sasa kuna hizi za urusi na korea respectively kwenye hizo addrec,hakikisha umebutua(ufaulu mzuri)am out..
 
Back
Top Bottom