scholarship 2012/2013 updates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

scholarship 2012/2013 updates

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mujoma2011, Mar 6, 2012.

 1. m

  mujoma2011 Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha ARDHI university zamani UCLAS.
  Nataka kuomba scholarship ya kwenda kusoma nje kwa coz tofauti na ya sasa ninayosoma.
  Kwa sasa nasoma BsC in Environmental Engineering.
  Napenda kusomea medicine.
  Sasa nataka kujua kama naweza ku aply kwa procedure zile zile wanazotumia form six kwenda kuanza mwaka wa kwanza.
  Kwa mfano hizi scholarship za algeria.
  Msaada please kwa anayejua
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hapo ARU pamekushnda au?
   
 3. G

  GHANI JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Labda GPA haisomi anahofu ku-disco that why anafanya mchakato wa pahala pengine.
   
 4. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh,ndugu aru imekushinda??? Mh polee
   
 5. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  mmh nipo Aru pia najua mzik wa pale ila dont give up mapema kiac ichondo kwanza upo mwaka wa kwanza ata matokeo bado,izo scholarship i think ni hadi mwezi wa 4,kwa info zaid ingia tcu website.
   
 6. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Algeria kwa kawaida wanaomba kupitia wizara ya elimu pale wizarani au utumishi karibu na wizara ya ardhi
   
 7. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Angalia, usije kumbana na Arab Spring huko.
   
 8. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zipo za Homs Syria kama unakifua cha kwenda. Maelezo zaidi nenda msikiti wa Mtoro Kariakoo
   
 9. j

  joramu New Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hi:embarassed2:
  [​IMG]
  :)
   
 10. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,434
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  duuh brother nakushauri concentrate ktk kitabu hapo hapo.
  maisha popote.
  najua umexoma kwa shida PCB unataka fulfill dreams za medicine bt kibongo bongo bila connection scholarship hakunaga.
  ila sikukatishi tamaa kaka.
  also be care unaweza loose kwote.

  tzscholarship.blogspot.com
   
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  nenda web ya tcu,fungua guided books kwenye content utakuta humo scholaship za algeria,
   
Loading...