Scarf za CHADEMA Hapa

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Kwa wale Wapenzi na Wanachama wa CHADEMA, kwa wanaopenda kufurahia uhuru wa kutambulika na kukitangaza Chama cha Demokrasia na Maendeleo popote walipo. Scarf zinapatikana piga 0714 507507 au 0786 507507 Bei ni 8,000 kwa walio Dar na 10,000 kwa walio mikoni (pamoja na gharama ya kutumiwa)

IMG_1155.jpg
IMG_1153.jpg IMG_1139.jpg IMG_1131.jpg IMG_1134.jpg
 
mkulima kupata hiyo 10,000 ni kuuza nusu ya gunia la mahindi. tutaipenda CDM moyoni kuliko mwilini. inakuwa kama unafiki fulani vile
 
For sure wazo lako la kutengeneza scarf ni zuri isipokuwa naona bei yako nni kubwa sana kwa wananchi wa kawaida,je huwezi ukaishusha ikawa ni bei inayoweza kuwa favour watu wa maisha ya kawaida?
 
For sure wazo lako la kutengeneza scarf ni zuri isipokuwa naona bei yako nni kubwa sana kwa wananchi wa kawaida,je huwezi ukaishusha ikawa ni bei inayoweza kuwa favour watu wa maisha ya kawaida?

ungependa iwe TShs ngapi? Mfumaji anasema hizo nyuzi sasa hv zimekuwa adimu kwa kuwa hazina deal kwa kuwa ufumaji wa vitambaa vya mezani wa muundo huo hauuziki.

Weka bei inayofaa mawazo yenu nikayawakilishe kwake.
 
mkuu, bei ni juu kidogo....haiwezekani kuweza kufanya kitu cha quality to price?
Najua kufuma ni ghali, je hawezi kuangalia jinsi ya kufanya scurf ambazo sio za kufuma kwa watu wa dar (joto) na bei iwe chini kidogo?
 
Wazo zuri ngoja nitamfikishia wazo hili alifanyie kazi na pia aangalie kama anaweza kushusha hii bei
 
mkuu, bei ni juu kidogo....haiwezekani kuweza kufanya kitu cha quality to price? Najua kufuma ni ghali, je hawezi kuangalia jinsi ya kufanya scurf ambazo sio za kufuma kwa watu wa dar (joto) na bei iwe chini kidogo?
Bigirita wazo lako amelikubali ameshusha bei iwe 8,000 kwa scarf kwa walio Dar na 10,000 kwa walio mikoani, amesema atapata faida ndogo ila kama wateja wengi itamlipa angalau
 
Back
Top Bottom