Yaani leo hii tv lazima ipone bila kumwita fundi!
Wadau nimerudi tena nikiwasha tv yangu huwa inachukua muda mrefu kuscan,inaweza chukua dk tano.Na kwa mfano umeme ukikatika afu ukarudi inascanning weeeeh mpaka!yaani hata kama kuna kipindi nilikuwa nafuatilia naboreka kuangalia.
Asanteni kwa kunijuza.