hii gari uliwahi kunipa nikuuzie , sasa nipigie tuongee
Hata magari nauza kaka, mwanzo aliniletea na kuna bei wateja walifika sasa nataka tuzungumze kama ana chukua , huwa nauza magari makubwa , viwanja na nyumba karibuSasa ndugu dalali kama ulishindwa kuiuza mwazo, sasa utaweza kweli? Alafu kwanini usimpigie wewe mwenye shida ya commission Mpaka yeye akupigie? Udalali wako kumbe mpaka kwenye magari, nilidhani ni viwanja vya kigamboni tu.