Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,364
- 108,510
Muda sii mrefu Dar Express nao watakuwa pamoja na hawa mabwana. Mwelekeo wao unashabihiana sana kwa sasa.
ila sio siri Dar Express nao magari yao yamechoka mpaka aibu...
Mbaya zaidi hawashauriki. Watu wenye mapenzi mema wanajitahidi sana kutoa feedback, lakini jamaa wameziba masikio.
Mkuu Sumry kwa sasa haifai hata kuwa daladala nivimeo mnooo, kwa ujumla TZ hakuna aliyekuwa anaetoa na atoae huduma za uhakika kama scand!halafu SUMRY walianza kwa kasi...ila magari yao yapo slow sana, ukipanda SUMRY tegemea kuchelewa kufika labda uwe unaenda Morogoro au Chalinze