Ha ha haaa!! Hamna mkuu hiyo ni sembe arif. Sorry mkuu unajua wakati unanicall nilikuwa nina pray so nikashindwa kupokea lakini bahati mbaya nikasahau kukutafuta tena. Tusameheane mkuu...uzee huu unaniendea vibaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.