Naomba mnisaidie kujua matumizi hasa ya hii app, nimegundua nli install kutoka google play lkn kwa kweli sijui Inafanya nini. Hlf Ile michoro ya kuscan ndo siipati akilini kabisa,naomba mnitoe porini
Naomba mnisaidie kujua matumizi hasa ya hii app, nimegundua nli install kutoka google play lkn kwa kweli sijui Inafanya nini. Hlf Ile michoro ya kuscan ndo siipati akilini kabisa,naomba mnitoe porini
Mkuu kila app ilioko PlayStore ina maelezo imetengeneza kwaajili ya kazi gani, ni vigumu kwa wanajamii kujua hiyo app nafanyaje kazi, nakushauri nenda pkay store kisha bonyeza menu then my apps kisha chagua hiyo app na usome ni app ya nini na inafanya kazi gani na inafanyaje fanhaje kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.