dorge JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 258 Reaction score 393 Apr 26, 2025 #1 Ndg Zang Hata watoto sik hiz hawaambiwi hii sayari imeemda wapi. Miulize mtoto kama.wanaandikiwa hii sayari. Je imeenda wapi
Ndg Zang Hata watoto sik hiz hawaambiwi hii sayari imeemda wapi. Miulize mtoto kama.wanaandikiwa hii sayari. Je imeenda wapi
Saa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 6,524 Reaction score 12,951 Apr 26, 2025 #2 Tafsiri ya kupotea ni kutokujua kitu hicho muda kilipo. Maana kama watu watajua kilipoenda maana ake hakija potea bali kimehama.
Tafsiri ya kupotea ni kutokujua kitu hicho muda kilipo. Maana kama watu watajua kilipoenda maana ake hakija potea bali kimehama.