Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,590
- 8,689
SijikitiJikite kwenye mada ya msingi
SijikitiJikite kwenye mada ya msingi
Endelea kulalamikia lugha ukichoka utaendelea na shughuli zakoSijikiti
Watu tupo kwenye shida za umeme maji na barabara wewe unawaza kutengeneza sayari zingine? Labda ungekua rais wa marekaniNikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
View attachment 3332079
kutengeneza sayari mpya from scratch
Kila mtu ana-ndoto, haki kuwa Rais sio kosa kisheria kuwa na nia ya kuwa RaisPunguza kujiogopa kwanza mkuu. Alafu hadi uwe raisi. Mmeona urais ni kichaka cha kutekeleza agenda zenu. Sasa kutengeneza sayari kuna impact gani kwa ustawi wa jamii yetu.
Mambo mengine yapo juu ya uwezo wako ndo maana afrika hakuna ubunifu wowote na kuna umaskini wa kutisha ulishawahi jiuliza ni kwanini ni kwa sababu watu wanafikra kama zakoWatu tupo kwenye shida za umeme maji na barabara wewe unawaza kutengeneza sayari zingine? Labda ungekua rais wa marekani
RAIS wetu ajaye POPOTE TUPO ""ULIPO TUPO""Nikiwa Rais kutakuwa na miradi ya kutengeneza sayari mpya mfano wa dunia, mars n.k from scratch
View attachment 3332079
kutengeneza sayari mpya from scratch
Kwa fikra hizo kamwe huwezi kuwa rais, endelea kulima alizeti.Kila mtu ana-ndoto, haki kuwa Rais sio kosa kisheria kuwa na nia ya kuwa Rais
Mambo mengine yapo juu ya uwezo wako ndo maana afrika hakuna ubunifu wowote ulishawahi jiuliza ni kwanini ni kwa sababu watu wanafikra kama zako
Ni kama mtu aliyekua ana ugua kwa mda mrefu alafu akapona gafula...Poor Brain
Njoo umsikilize mwana falsafa wako.
😄😄😄 Hapana mkuu, nielezee kidogo kisha tujikite kwenye mada, tuone mh. Atafaulu vipi hasi sisi watanzania tukaanza kuzalisha sayari mpya.Ni kama mtu aliyekua ana ugua kwa mda mrefu alafu akapona gafula...
Unajua tofauti ya kuugua na kuumwa mkuu
Ahahaha mkuu kuugua maana yake ni tatizo lolote la ubongo😄😄😄 Hapana mkuu, nielezee kidogo kisha tujikite kwenye mada, tuone mh. Atafaulu vipi hasi sisi watanzania tukaanza kuzalisha sayari mpya.
Duh!Ahahaha mkuu kuugua maana yake ni tatizo lolote la ubongo
Kuumwa ni ishu ya mwili kasoro kichwa
Jamaa unasema kaugua mda mrefu hii.maana yake alipata tatizo la ubongo either vibrant phantom syndrome au manipulate phantoysyDuh!
Sikujua hili, ngoja nianda uzi nimuombe radhi Mr president.
Mtu ambaye hana uhakika wa kesho yake ananiambia huwezi hayo mamlaka umeyatolea wapiKwa fikra hizo kamwe huwezi kuwa rais, endelea kulima alizeti.
Mda utaongea haina haja ya kutumia nguvu sahivi tuweke akiba ya manenoJamaa unasema kaugua mda mrefu hii.maana yake alipata tatizo la ubongo either vibrant phantom syndrome au manipulate phantoysy
Kuna mahali ulisema Mr. President anaugua 😞 magu au huyu mama, ila hapa tunamzungumzia Mr.president.Duh!
Sikujua hili, ngoja nianda uzi nimuombe radhi Mr president.
Nipe namba yako niangalie salio la account yangu moja tu sms ya salio uipate huko 😁 ndio ujue mimi sijashiba na kuanza kucheka cheka ovyo kama wewe.Mtu ambaye hana uhakika wa kesho yake ananiambia huwezi hayo mamlaka umeyatolea wapi
DuhJamaa unasema kaugua mda mrefu hii.maana yake alipata tatizo la ubongo either vibrant phantom syndrome au manipulate phantoysy
Mimi ni shabiki wako mkuu wala usikhofuMda utaongea haina haja ya kutumia nguvu sahivi tuweke akiba ya maneno