Aliyekwambia kufa ni kubaya ni nani?ushawahi kufa au kufanya research ya waliokufa wakasema ni adhabu na ukadhibitisha Mungu ni mbaya kwa kuwa hakuzuia wasife?Kama mungu yupo, ana nguvu zote, upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaachia watoto maskini wa KiHaiti wafe en masse huko Haiti kwenye tetemeko la ardhi?
Ina maana hakuwa na uwezo wa kuwaokoa, la hasha, tushasema ana uwezo wote.
Ina maana hakupenda tu kuwaokoa, la hasha, tushasema ana upendo wote.
Sasa kwa nini hakuwaokoa basi?
Hakuwaokoa kwa sababu mungu huyu hayupo, ni character wa kutungwa kama katika hadithi za kufikirika.
Mimi binadamu ambaye sijafikia hekima yote na upendo wote nishajua kwamba nikiwa na uwezo wa kuwaokoa watoto wasio hatia nitawaokoa, seuze mungu mwenye upendo wote na uwezo wote?
yeye alikwishaumba akamaliza wala hakuna mwanadamu analoweza kujisifia kwalo... ametupa akili ni wajibu wetu kuzitumia. si wajibu wetu kujisifia kwa akili zetu vipi kesho ukiamka na kuwa mwendawazimu je utasema ni sayansi pia imefanya kazi yake? Unapaswa kujitambua na kujiuliza vipi tunagundua vitu vipya na je wewe u miongoni mwa wagunduzi wa kisayansi? maana imebainika wengi wetu hujipa majina tusiyofanana nayo!!Munamuita anajua kila kitu kilichopita nakinachokuja.
Alikua wapi siku zote na kukaa kimya kwamba kuna uwezekano wa pacha wa dunia?
Kila kukicha ndio tunavyogundua kwamba God is useless!!!....
...siwezi kusemea vitabu ama imani za wengine.. lakini kitabu na imani yangu sioni cha ajabu hapo! kwani tumeambiwa kuwapo kwa viumbe wengine na kama tunaweza kupita katika nyota na tupite.... Mwenyezi Mungu ameturahisishia... na ametupa ruhusa ya kutafiti.Mola wa ULIMWENGU WOTE (dunia nyota na mengineyo)nakumbukaga kipindi hicho shule zetu za kata mwalimu aliniambia tuna sayari 9 tuu katika ulimwengu huu. sasa nikamuuliza hizo nyota zote huko juu ya dunia ni nini. Daa nakumbuka akaniambia nisijifanye mjuaji hizo ni nyota tuu zinawakawaka. Sasa nikamuuliza zinawaka kama jua au mshumaa. daa alikuwa ameshika bakora na alikuwa anapita karibu na mimi akanichapa mkononi kwa kumletea nuksi daa. Alafu akasema ni kama mshumaa tuu hakuna kingine somo likaishia hapo. Daa lakini leo hii sasa najua kila nyota uionayo huko juu ni jua linawaka maali huko angani wanaita umbali wa mwendo wa mwanga ambao ni kama 671miliones miles kwa lisaa. Jua ambalo lipo karibia na jua letu ni umbali wa mwendo wa mwanga wa miaka 4.24 hilo ndo jua jirani yetu. Alafu tena sayansi inatuambia ulimwengu wetu huu una mabilioni ya magalaxi na hayo magalaxi yana mabilioni na ma trilioni ya majuaa na sasa kwa kutumia masatelit na matelescope wanasayansi wameanza kuchora ramani ya majua hayo ya mbali na kuona majua mengine ambayo yana sayari zinazizunguka labda miaka ijayo tunaweza pata picha za rangi za sayarinyingine. Sasa hapo sijui itakuwaje na imani yetu na mungu mmoja muumba dunia yetuu tuu.
Aliyekwambia kufa ni kubaya ni nani?ushawahi kufa au kufanya research ya waliokufa wakasema ni adhabu na ukadhibitisha Mungu ni mbaya kwa kuwa hakuzuia wasife?
jamani,sijui kwanini huu uvumbuzi mnahusisha na kuwa hakuna mungu,katika kitabu cha biblia mungu kinasema mungu aliumba dunia,ila haimaanishi sio ulimwengu wote,mambo ya imani tuwaachie wanaoamini na nyie msioamini mbakie hivo hivo,si lazima muamini,ila msipotoshe watu waamini mungu hayupo
ujue mungu kwasababu ya upendo wake amekuachia aumue either uende kwake au kwa shetani,shetani amepewa ushawishi tu ila kimsingi nguvu mwanadamu aliyenayo ni kubwa sana ,unaweza kuyakemea haya mashetani,mungu angemuondoa shetani angeonekana ni mbabe na shetani lazima angesema si mnaona huyu mungu alivo na ubabe,bottom line ni mambo ya imani hujalazimishwa umuaminiIna maana kukitokea viumbe katika sayari nyingine huko nao watapata wokovu kupitia kwa mitume iliyotokea dunia yetu kama Yesu na Muhammad? Au huyu mungu atakuwa katuma mitume yao? Na kama katuma mitume kwaao mbona wakristo wanaamini njia ya kumfikia mungu ni Yesu tu, sasa hapo itakuwaje? Halafu sijapata majibu ya post ya 13 hapo juu bado, kwa maana ya kwamba hata kama hutaki kuhusisha ugunduzi huu na kutokuwapo kwa mungu, kuna miswali mingine kibao inayoonyesha kwamba habari ya mungu ni hadithi tu.
ujue mungu kwasababu ya upendo wake amekuachia aumue either uende kwake au kwa shetani,shetani amepewa ushawishi tu ila kimsingi nguvu mwanadamu aliyenayo ni kubwa sana ,unaweza kuyakemea haya mashetani,mungu angemuondoa shetani angeonekana ni mbabe na shetani lazima angesema si mnaona huyu mungu alivo na ubabe,bottom line ni mambo ya imani hujalazimishwa umuamini
Umenishtua sana na title yako, nilifikiri labda Wanasayansi wameumba Sayari yao kutonana na material yasiyotengenezwa na Mungu kumbe waliona tu Sayari iliyotengenezwa na Mungu?New Exoplanet Is Candidate For Life, Orbits Two Stars 55 Cancri f binary star California Institute of Technology ExoEarth Kaspar von Braun Life Planet by Erin Podolak | 11:35 am, July 18th, 2011 The search for an Earth-like planet (an ExoEarth) with the characteristics necessary to support life has captured the minds and imaginations of scientists and the public alike. Researchers have already discovered several possibles, but a new planet has been discovered that, in addition to being likely to support life, also orbits two distinct stars. Named 55 Cancri f, the newly discovered planet is one of five that orbits an orange dwarf star and a red dwarf star approximately 40 light years away from Earth, in the constellation Cancer. The research to study the planet was led by Kaspar von Braun from the California Institute of Technology. By measuring the planets orbit, the researchers were able to confirm that it is a candidate to support liquid water, the basis for life like ours on any planet. 55 Cancri f is similar to Earth because it has a year-long orbit of the same length, and the conditions necessary for a moderate greenhouse effect, which would support a liquid water cycle. However, the planet is also notably different in that its orbit is more of an elliptical shape, and also because it orbits the two stars. Being part of a binary star system would mean that the view of the sky from 55 Cancri f should be pretty spectacular. For at least half of the year, both the red and orange stars would be visible during the day, and at night for half a year the red dwarf would be visible and for the other half of the year you could only see more distant stars. According to the researchers, this makes 55 Cancri f both a promising and exotic ExoEarth. If it was possible to fire up our imaginations about life on other planets any more, consider it done.
Umenishtua sana na title yako, nilifikiri labda Wanasayansi wameumba Sayari yao kutonana na material yasiyotengenezwa na Mungu kumbe waliona tu Sayari iliyotengenezwa na Mungu?