Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,347
- 56,076
Hata kama una pesa nyingi au mafanikio makubwa jaribu kutumia hii mbinu mojawapo ili uweze kuishi vizuri na watu, kujishusha na kujiweka sehemu ya jamii yao. Jaribu kuwakopa pesa ndogo ndogo wale wote uliowazidi kipato au mafanikio ili wao wajue huna tofauti nao n.k

kuomba ela kwa wanaume km nyinyi ni sahihi bhn 
ndo wapi uko?. Uje unielekeze ww, maana mi sipajui uko pm