Sayansi ya jinsia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,057
Reaction score
859,143
Angalia jinsia yenye headache generator...au kwa lugha za kizushi pasua kichwa
Kisha angalia medulla ambayo muda wote inawaza uzinzi tuu
Kumbe hizi jinsia mbili hazichekani kila moja ina majanga yake na siku zote huenda sawa aidha kwa kukubaliana au kukubaliana kutokubaliana...!!
Mchana wanakandiana mitandaoni usiku wanatafutanamwisho wa siku unakuja kugundua wote ni pasua na wote ni waasherati
 
Sasa kwa mtiririko huo juu ndio tunaweza tambuaje huo utambuzi..!?
Mie sijaelewa hata kimoja hapo na napenda kusema kwa leo UMEZINGUA na mada isiyo na mantiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…