Sayansi na Teknologia.

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,568
2,063
Sayansi na Teknolojia imepelekea kharamu kuwa halali: Angalia wazinifu kuitwa wapenzi. Kamari kuitwa Bahati Nasibu. Mganga kuitwa Fundi. Anaetembea uchi kuitwa Mrembo. Mfiraji kuitwa Basha.......endelea......
 
Mwizi wa mali ya uma kuitwa mjanja.
Fisadi serikalini kuitwa tajiri la Epa.
Mlevi wa Mandrax, Cocaine kuitwa Mteja.
 
Back
Top Bottom