Say what you mean, mean what you say.

halafu hii thread NN kasema say what you mean na mean what you say

hajasema say everything or answer everything with truth

ni kwamba kama unaamua kusema kitu bora kiwe cha kweli au otherwise
amua kukataa kusema

muhimu hilo pia watu kujua
 
Binafsi nililinganisha zaidi hii mada na mada ya promises and comitment. ila nikaona wengine walichangia kwenye side ya honesty. Of course they are linked, ila comitment, ambayo inajenga accountability ni quality muhimu sana katika mahusiano.
Several scenarii are possible:
  • you say something and you mean it, only baadae kuja kugundua kua huwezi kutekeleza kama ulivo fikiria. Hapa nashahuri umuone yule ulie mpa ahadi na kumwambia ASAP kua kuna uwezekano ukashindwa kutekeleza ahadi yako (unfulfilled promises)
  • You don't say a thing ila mtu wako/watu wako wanajijengea wenyewe assumption kua sababu wewe ni fulani kwao lazima utawafanyia hivi. na pale usipo fanya inakua shida. mfano ni pale mtu anadate msichana kwa miaka 2 au 3 halafu baadae anaamua kuachana nae kwa sababu anazo zijua yeye, only to hear the lady complaining kua amepotezewa muda, alijua ataolewa. kuhepuka hii embarassment ni bora kuweka mambo wazi kua suala la ndoa halija husika (unjustified expectations toka kwa counterpart)
  • you say something but you don't mean it. hili ndili hasa suali tunalo zungumzia hapa. unajua kua ni uongo, huna nia wala mpango, ila unamlazimisha anae kusikiliza kuamini kua you mean it ( false commitment)
Na kwangu mimi zote hizi zinauhusiano mkubwa na vile mtu anavo jithamini na kujikubali.
 
exactly ..
umefafanua vizuri mno
so sometimes unaona watu tunao waita waongo au kuitwa waongo
ni tatizo la 'poor communication ' tu.....

na sio uongo au dishonesty....

ni kuwa kuna mtu anakutegemea utafanya hivi na wewe hufanyi
mwisho unapata label ya dishonesty
 
Back
Top Bottom