Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,381
Wooooh.....Woooooooh Roulette nimependa sana hii ! Hongera kwa kuwa mama bora ! Mungu azidi kukupa hekima na busara uwakuze vema mabinti zetu !
Hapo red umenikumbusha wakati nakua nilikuwa naambiwa watoto wananunuliwa lol ila nashukuru haikuniathiri chochote labda kwa vile ni wa enzi hizo sio za sasa !
Amina! Asante kwa pongezi, najitaidi hivo hivo. Kua mzazi ni mengi kuliko nilivo fikiria kabla sijazaa, kuliko nilivo fikiria nikiwaona wazazi wangu walivo tulea. Sisi tulikua watoto 7! yani nikikumbuka nawavulia kofia na kupiga salute. walijitah8idi kila mmoja wetu ajiskie yuko special, na anajibiwa mahitaji yake on an individual level.
Kabla ya kuongea haya ya sex, nilisoma vitabu, niliongea na wazazi wengine ila zaidi nilipata ushahuri toka kwa wazazi wangu na bibi zangu wote wawili. Kuna wakati nashindwa kabisa cha kufanya na najiona nimeshindwa kazi yangu ya ulezi ( Kongosho amesha faanua ni ulezi upi tunazungumzia) ila baadae unakumbuka kua usipo fanya wewe nani atafanya? Asie funzwa na wazazi anafunzwa na dunia, and as you might be aware the world can be pretty cruel sometimes. so weka aibu mbali, ongea na mtoto for her/his benefit. Ulezi...
BTT: Imagine mimi na baba yao tuko very tolerant na mambo ya homosexuality, na hatuoni ubaya wowote. Sasa pata picha pale watakapo uliza how an homosexual couple has babies? Au just why some people are homosexuals? siwezi kuwadanganya because you don't know why they ask this question, you don't know what is their sexual orientation na hutaki kumwambia kitu kitakacho mfanya ajiskie kua inferior/deviant. so you need to prepare these questions and make them match the moral and religious values you wish to transmit to your kids.