Sawa ni mrembo ila utakuwa tayari kuwa nae?

unuhakika ni wa kike, mbona kuna sehemu pame-vimba, mitaa ya crater apo
 
Baunsa hivyo??? Hata bure sitaki. Kwani ni mwanaume gani anayependa kuaibika kwa kupigwa mangumi kila siku?
 
uyo lazima anaoa wenzie huyo, hujui mambo ya ulaya...mume mwenzio huyo alaa...
 
Baunsa hivyo??? Hata bure sitaki. Kwani ni mwanaume gani anayependa kuaibika kwa kupigwa mangumi kila siku?

Kwahiyo unamaanisha hata wanawake wanawaofia wanaume mabaunsa kwakuhofia mikong'oto?
 
Kuna kisehemu ukikiangalia vizuri huli tena Nyama ya Kuku.

Ila na Mikono yake haki ya nani katanikoma Ngosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…