Sawa ni mrembo ila utakuwa tayari kuwa nae?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,364
Ona alivyo mrembo ila misuli sasa ndo braaa

407152_113396418786760_100003492072944_51046_1671604336_n.jpg
 
unuhakika ni wa kike, mbona kuna sehemu pame-vimba, mitaa ya crater apo
 
Baunsa hivyo??? Hata bure sitaki. Kwani ni mwanaume gani anayependa kuaibika kwa kupigwa mangumi kila siku?
 
uyo lazima anaoa wenzie huyo, hujui mambo ya ulaya...mume mwenzio huyo alaa...
 
Baunsa hivyo??? Hata bure sitaki. Kwani ni mwanaume gani anayependa kuaibika kwa kupigwa mangumi kila siku?

Kwahiyo unamaanisha hata wanawake wanawaofia wanaume mabaunsa kwakuhofia mikong'oto?
 
Kuna kisehemu ukikiangalia vizuri huli tena Nyama ya Kuku.

Ila na Mikono yake haki ya nani katanikoma Ngosha :)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom