Anayepigiwa simu na Mudathir apokee

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Kati kati ya kitongoji masikini chenye rate kubwa ya uharifu alikuwepo bwana mdogo alie itwa Gabriel teseka na penzi la mrembo mmoja wakishua alie itwa Skyle mrembo kweli kweli.

Mara zote Gabriel alitolewa mbavuni alipo tupa nyavu kumpata mtoto Skyle.Gabriel alipiga sana simu hakuna hata moja iliyo wahi kupokelea na mrembo.

Muda ukapia Gabriel akajipata na kua proffesional player. Baada ya kufanikiwa Sim za Skyle zikawa hazikauki. Gabrieli hajawahi kupokea.

Ila kila akitupia ana shangilia kwa kupiga simu akimaadisha mrembo apokeee sim kashatoboa.

July 23 2023 kwenye dimba wa nyumbani la Wanda Metropolitano ilipigwa mbungi kati ya Barcelone na wenyeji Atletico De Madrid , Upande wa Atletico alikuwepo Suarez alie cheza kwa mafanikio sana akiwa Barcelona chini utatu mtakatifu wa MSN,

Barca alikufa 2-0 goli za Lemar na Suares. Story haikua ushindi wa Atletico story ilikua Suarez kushangilia kama anapiga simu baada ya kufunga. Unaambiwa wakati anamaliza mkataba wake Barcelona Suarez hakupenda kuondoka ila raisi wa Clabu hakutaka aendelee sababu alimini Suarez ni mzee hivyo hakua akipokea hata sim za Suarez.

Suarez alivyo tupia akaonesha ishara ya kupiga sim akimkumbusha kuwa raisi "POKEA SIM SIJAZEEKA"

Nikilinganisha visa hivi vuwili lazima kuna mtoto wakike alijiona keki au kuna bosi alileta dharau, sasa apokeee sim Muda kajipata.

Mchizi anatupia kila siku na kila akitupia ana piga simu , anae pigiwa apokee , mchizi kasha jipata tena kajipata haswa.

Kisasi cha kufanikiwa zaidi yao kitamu sana

Namtapokea tu.
IMG_20240225_003153.jpg
 
Atakuwa anawapigia Mangungu na Try Again waliomdengulia wakati ule alipovunja mkataba wake na Azam. Maana ukiongelea kuhusu mahusiano; dogo tayari ana mke mrembo balaa! Tena ni chotara mwenye Upemba na Uarabu ndani yake.
 
Kati kati ya kitongoji masikini chenye rate kubwa ya uharifu alikuwepo bwana mdogo alie itwa Gabriel teseka na penzi la mrembo mmoja wakishua alie itwa Skyle mrembo kweli kweli ,

Mara zote Gabriel alitolewa mbavuni alipo tupa nyavu kumpata mtoto Skyle ,

Gabriel alipiga sana simu hakuna hata moja iliyo wahi kupokelea na mrembo.

Muda ukapia Gabriel akajipata na kua proffesional player ,
Baada ya kufanikiwa Sim za Skyle zikawa hazikauki ,
Gabrieli hajawahi kupokea

Ila kila akitupia ana shangilia kwa kupiga sim akimaadisha mrembo apokeee sim kashatoboa .

July 23 2023 kwenye dimba wa nyumbani la Wanda Metropolitano ilipigwa mbungi kati ya Barcelone na wenyeji Atletico De Madrid , Upande wa Atletico alikuwepo Suarez alie cheza kwa mafanikio sana akiwa Barcelona chini utatu mtakatifu wa MSN,

Barca alikufa 2-0 goli za Lemar na Suares ,
Story haikua ushindi wa Atletico story ilikua Suarez kushangilia kama anapiga simu baada ya kufunga ,
Unaambiwa wakati anamaliza mkataba wake Barcelona Suarez hakupenda kuondoka ila raisi wa Clabu hakutaka aendelee sababu alimini Suarez ni mzee hivyo hakua akipokea hata sim za Suarez,

Suarez alivyo tupia akaonesha ishara ya kupiga sim akimkumbusha kuwa raisi "POKEA SIM SIJAZEEKA"

Nikilinganisha visa hivi vuwili lazima kuna mtoto wakike alijiona keki au kuna bosi alileta dharau, sasa apokeee sim Muda kajipata..

Mchizi anatupia kila siku na kila akitupia ana piga simu , anae pigiwa apokee , mchizi kasha jipata tena kajipata haswa,

Kisasi cha kufanikiwa zaidi yao kitamu sana

Namtapokea tu.View attachment 2915401
simu anapigiwa popat
 
Anampigia Jaribu tena. Kolo walitaka kumsajili Jaribu Tena akamdengulia, Eng. akasema kijana ustaabike, njoo huku kwetu na hautojuta. Basi mambo ndiyo hivyo jaribu tena anammezea mate but it is too late
Huyu jamaa alikuwa aende Simba, ila wakamchukulia poa ila Nabi akasema leteni huyo mutu haraka. Hakuna ubishi kilichofanyika ni moto.
 
Jana aliulizwa nadhani ni kati ya hersi au mwana fa kua Hio simu muda unampigia nani

Akajibu nampiga mke wangu na mtoto!!!
 
Back
Top Bottom