Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Mom Fay mfundishe badiebey mbinu unazotumia kumhandle Mbongo muvi, akipata asiachwe tena!

upendo tu,wanaume mnabebeka basi...asubir tu penz la kweli,asiumie sana huenda mola kamuepushia mengi,ashukuru asonge mbele
 
Last edited by a moderator:
yeye sio chizi akuache bila sababu tuambie sababu nini kama ume cheat sema dont rush for sorry

sijacheat,tangu nimjue yeye sijahusiana na mwanaume mwingine yoyote
 
sijui hadi lini mamii,natamani kusettle na partner wangu na mi nipange maisha

I dedicate you the song named "to love you more" ya celion Dion, hope it will comfort you Shem yake...take it easy
 
Tatizo anakuja lini na utamjuaje km ndie

hapo ndo ishuuu...nishawahi omba ishara kwa Mungu,ikatokea partially,nikajaribu kuwa rafiki kidogo wa mhusika kumbe tayari ana wake ,ikabidi nikae mbali,eh na imani yangu haba hii lohh Mungu anisaidie
 

uzuri nakuwaga na akili timamu no matter what,my life kielimu ,kazi nk yanaendelea vizuri tu,sema yani natamani kusettle ,infact for the first time in my life naanza kutamani kuwa na mtoto
 
Pole sana ww co wa kwanza wala wa mwisho inauma sana kupoteza muda kumthamin mtu ambae unahis ndo faraja kumbe jambaz wa mapenz kwanza mshukuru mungu na usiumize sana huyo hakuwa andiko lako yupo mwenye nia ya kweli anakuja tulia sali yatakwisha.
 
Polee sana...it his los..you are far better without him...somewhere someone is dying to be with you...stay strong

am doing my best..ila sikujua it would hurt like this,na hata wa kumuambia personally sina
 
Pole sana ww co wa kwanza wala wa mwisho inauma sana kupoteza muda kumthamin mtu ambae unahis ndo faraja kumbe jambaz wa mapenz kwanza mshukuru mungu na usiumize sana huyo hakuwa andiko lako yupo mwenye nia ya kweli anakuja tulia sali yatakwisha.

Mungu naomba anishikilie tu,mana hata imani yangu imepungua kuliko
 
ahsanteeeee warumi,sijazoea kukuona huku ujue

Yeah , katika pita pita yangu humu nimeguswa sana na hisia zako , just listen to the song n understand the lyrics well, it will strengthen you n give you hope if you still want him back
 
Pole zako nyingi chezeya kupenda na kupendwa.


So happy to see you back.
Karibu tena best. Missed you a lot hadi nikawa nakufuate kuleee
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…