Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

No Matter What Happens,Life Must Go On.TUNAISHI MARA MOJA PEKEE.Jipende zaidi
 
Polee sana...it his los..you are far better without him...somewhere someone is dying to be with you...stay strong
 
Wanaumeeeee ni shida. Yani Hawana ufundi. Wapo wanawake wamejiingiza kwenye tabia za ulevi, uchangu, uplayer, Kuvuta sigara kisa kukabiliana na stress za wanaume. Pole mama ndio dunia na ndio ukubwa. Jaribu kuwasahau kwa mda. Fanya maendeleo yako. Kama unaweza kurudi shule fanya hivyo.

Nishawahi kupigwa buti kubwa haswa nikawa so stressed Hadi nikaamua kuhama nilipokuwa naishi. Bado ikawa haitoshi. Ikabidi nifikirie kuendelea na shule tena kwa kuhama nchi. Nilipoamua kurudi shule Ndio angalau nikawa sawa na kusahau kila kitu.

Nililia sijawahi kulia hivyo maishani mwangu. Hakuna maumivu makali km ya kuachwa.....Ila time heals
 
Acha Kuhukumu
Nimehukumu wapi? amejihukumu mwenyewe mimi nafanya kumkumbusha maana binadamu tunasahau kuwa maneno huumba,aliyoyasema ndiyo yaliyotokea mimi nimehukumu wapi
 

yeye sio chizi akuache bila sababu tuambie sababu nini kama ume cheat sema dont rush for sorry
 
Nimehukumu wapi? amejihukumu mwenyewe mimi nafanya kumkumbusha maana binadamu tunasahau kuwa maneno huumba,aliyoyasema ndiyo yaliyotokea mimi nimehukumu wapi

Kwa Kumkumbushia Umemsaidia Sasa,
Yani ni kama moyoni unamwambia ndo ukomeee,
Sio njia sahihi ya kumshauri mtu aliye kwenye maumivu,
Umegongelea Msumari Kwenye Kidonda.
 
ahsante kwa poleh,zanzibar pananitamanishaaa...
Will think about it
 
Last edited by a moderator:

Mh! Acha niendelee kuchunguza kimyakimya,hii tabia ya kunisema huku sio
 
yeye sio chizi akuache bila sababu tuambie sababu nini kama ume cheat sema dont rush for sorry

Amini Usiamini,Wanaume Huwa Na Sababu Zao Binafsi Hata Mwanamke huezi jua
 

poleh sana kwa msiba ndugu...nimekulia familia ambayo for various reasons baba sio mtoaji sana wa hela kwa mama,nimejiufunza kujitegemea mahitaji yangu mapema sana,sijui wanaume wengine kama ni watoaji,nikipewa nashukuru, hadi nikitamka mwenyewe naomba kitu flani basi nina hali mbaya kwelikweli
 
pole mwenzangu karibu tumshirikishe mungu hasa katika kipindi kigumu tulicho nacho tuombe bila kukoma,nakusihi usikaribishe uhusiano mwingine kwa sasa pumnzisha moyo wako,najua ni vigumu but litapita tu jipe moyo mimi nina mwezi sasa toka nimeumizwa lakini kadri ck zinavyozidi kwenda na mshukuru Mungu kwa kila jambo.cha msingi ukubali ukweli wa mambo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…