Haya maumivu ya mapenzi saa nyingine unatamani tu MUNGU angekuwa anatunong'oneza kuwa "Hapa ninapokupitisha ni twisheni tu, so usitegemee saaaaana" ...maumivu yasingekuwapo. But mimi nilijifunza kitu kimoja ingawa kwa maumivu makali ...kuwa kila jambo lina sababu. Mshukuru MUNGU utashangaa atakavyokuvusha salama. Mimi nilishaambiwaga kuwa "Unapenda vibaya wewe kiasi kwamba watu wanawezakuku-take for granted na kutake-advantage kwako" ....halafu atafanya just that....nilijilaumu kwa kuwa he was trying to be frank with my feelings kwa kuniambia ukweli kuwa hata yeye anapita tu, nisijiachie kihiiivyo but sikumwelewa............
Huweziamini shemeji hata mie nilikuwa nina mtizamo huo... kuwa ukipenda umependa.... mia kwa mia kumbe bwana sivyo. Hata uwe umependa vipi, as long as huwezisoma yaliyomo moyoni mwa mwenzi wako (ambaye hamjakufunga pingu za maisha) kaa chonjo. Nilimuelewa alivyonambia unapenda vibaya...... kweli nilijiachia. But alinifunza nikafunzika nadhani kama asingeni-warn mapema nisingeweza kusurvive aisee.Mhhhh!!! Sasa kuna kupenda vizuri MJ1!? au huko ndio kufanya usanii kama unapenda kumbe walaaa!!! Ninachoamini mimi ukiamua kupenda basi unapenda kweli kweli vinginevyo ni usanii tu na kupotezeana muda.
Huweziamini shemeji hata mie nilikuwa nina mtizamo huo... kuwa ukipenda umependa.... mia kwa mia kumbe bwana sivyo. Hata uwe umependa vipi, as long as huwezisoma yaliyomo moyoni mwa mwenzi wako (ambaye hamjakufunga pingu za maisha) kaa chonjo. Nilimuelewa alivyonambia unapenda vibaya...... kweli nilijiachia. But alinifunza nikafunzika nadhani kama asingeni-warn mapema nisingeweza kusurvive aisee.
Kwa hiyo siku hizi umeachana na "kupenda vibaya?"
Hahahah Shem unanichimba hahah............. nafanyia kazi ushauri nlopewa, my Soulmate ndo atakayeweza kuthibitisha kama nimeacha au bado.
Halafu wewe nikajua umebatizwa/umesilimishwa jina jipya humu, make watu hawachelewi kujibatiza upya humu. Where have ya been dude!.hahahahaha lol!! wala sikuchimbi 🙂🙂🙂 kama mtu mwenyewe wa kukujibia ni soulmate wako basi nina uhakika bado unapenda vibaya lol!!!!
hahahahaha lol!! wala sikuchimbi 🙂🙂🙂 kama mtu mwenyewe wa kukujibia ni soulmate wako basi nina uhakika bado unapenda vibaya lol!!!!
nakumbuka,nishakuwa innocent nikaumizwa vile vile,..am trying a different life nako naona hali tete,sijui nilekee wapi,am so hopeless ryt now
Halafu wewe nikajua umebatizwa/umesilimishwa jina jipya humu, make watu hawachelewi kujibatiza upya humu. Where have ya been dude!.
Hahahah we mbaya shem.... yaani unataka kusemaje? hahahahah kuwa akiwa ni Soulmate ndo napenda vibaya hahahah...mwone vile!
Utazoea tu mamie... Yaan huwezi amini hiko ni kipindi cha mpito kwa wadada wengi. Mungu atakusaidia, make hujazaliwa naye.
Take heart.... Believe huyo hakuwa wako, wako yupo!
Shem ukisikia watu wamefikia mpaka kuitana soulmate basi ujue hao wameoza ile mbaya...Sasa nikimuuliza Brother wangu hili swali, "Eti Bro yule Shem wangu MJ1 kwenye penzi lake anapenda vibaya au vizuri? Najua unajua fika jibu la Soulmate wako litakuwa lipi. 🙂🙂
Very well said Da Mkubwa.Pole sana huwezi jua Mungu amekuepusha na nini. Usijilaumu mrudie Mungu wako na umuombe msamaha kwa kutoisikia sauti iliyokua inakuonya juu ya mtu huyo. Pia usiache kumuomba Mungu akupe aliye mwema Leo hii huwezi kujua umeepushwa na nini sana sana utajilaumu tu na kujihesabia makosa ili tu uendelee kuumia.
Kumbuka ni vigumu sana kumwambia mtu mapungufu yake kwani walio wengi hawako tayari kuyakubali so usilaumu kwanini hawakuambii sababu ya kukuacha huenda ungeambiwa usingekubali/hautakubali. Jaribu kujichunguza je unapokwazika huwa unabehave vipi au una argue namna gani ie kuna mengi ya kuangalia ukiona uko poa basi msubiri Mungu atakupa kwa wakati.
Bidada, you are better than this. Inatosha kusononeka, na next time make yourself rare ili afanye kazi ya kukumaintain.
Hizi 'l am nothing without you' au matendo yanayoashiria hivyo huwacost sana mabinti. Make him feel like he cant live without you.
Am afraid the interpretation of that last sentence ndiyo huwa-cost wadada wengi!
I'd prefer being real...b'se at the end of the day you will be happy you loved and they will be sad they lost you!