Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
5,875
Reaction score
3,117
Wadau wa JF za jioni.

Nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa, japo cha kimya kimya, nimejiongeza kusoma alama za nyakati, na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu.

Nishamuweka moyoni, i loved every moment, inaniuma sana alivojikata polepole mana text, simu hazijibiwi na watsap namuona, kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu.

Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi. Maybe kuna sehemu nilikosea, najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu, mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi, watanicheka, ndugu watanishangaa, bora hapa siwajui hamnijui.

Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi ila naumia jamani dahh, mana i took sometime, natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena.

Ukipita niachie japo a comforting word au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.
 
Pole mdada ni kweli inauma but jitahidi kuwa busy utamsahau taratibu, hakuwa wako huyo anaekuthamini yupo ila muda hujafika.
 
Ndo yule money stunna ambaye alienda hadi kwenu au ulikua unafanya naye kinguo nguo kama members wengne humu?

sio money stunna,ile ilikuwa changamsha jukwaa tu,sikuwa na kazi zimenibana
 
Pole mdada ni kweli inauma but jitahidi kuwa busy utamsahau taratibu, hakuwa wako huyo anaekuthamini yupo ila muda hujafika.

ahsante,natamani afike upesi nisahau mateso mimi jamani
 
Pole sana ila usijali just know that uploadfromtaptalk1399992508368.jpg
 
Utazoea tu mamie... Yaan huwezi amini hiko ni kipindi cha mpito kwa wadada wengi. Mungu atakusaidia, make hujazaliwa naye.

Take heart.... Believe huyo hakuwa wako, wako yupo!

sijui hadi lini mamii,natamani kusettle na partner wangu na mi nipange maisha
 
Wanaume ni wasanii mdogo wangu achaa!ndo maana mi nilikupa onyo uwe makini maana ukiingie miguu miwili imekula kwako!but anyway pole sana,before you get any success you have to go through a lot of failures,your princecharming is out there somewhere!
 
^^
Wanawake sio wasanii?
^^
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom