mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,631
- 18,670
Tokea magufuli amekufa tulisikia hiki kibwagizo kwamba CHADEMA ishakufa. Hadi sasa enzi za malkia kibwagizo ni kilekile kwamba Tanzania hakuna upinzani wa CHADEMA okay Nice nakubali.
Sasa kwa vile CCM ni chama kikongwe na kina ushawishi barani Afrika kifanye hivi, kingewaruhusu tu hao wafu(CHADEMA) waingie kwenye uchaguzi ili dunia iamini kweli hawa jamaa ni wafu na wachekwe kabisa maana hawana ushawishi wowote.
Ni ushauri wangu tu msipaniki na kupandisha sukari chumvi na pressure.