Sawa Askofu Malasusa, tumekusikia Baba!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,427
108,532
" Tambueni kuwa kuna Kufa "

" Unaweza ukafa hata leo hii hii na sasa hivi "

" Usiringie Mamlaka yako jua kuwa utakufa tu "

" Hata ukinyanyasa Watu hapa duniani jua bado utakufa tu "

" Jifunze kusamehe kwani kuna Kifo mbele yako "

" Tusiishi Kinafiki kwani kuna Kufa "

" Kwenda sana Makanisani au Misikitini hakusaidii kama hujui kuwa kuna Kufa "

Shikamoo Askofu G Malasusa!

Nawasilisha.
 
Tunajua yote hayo, yeye ndio alikuwa hajui

Mkuu samahani Mimi sikuangalia katika Runinga bali nilikuwa namsikiliza tu kupitia Redio ya Taifa ila naomba kuuliza kwani hapo Ukumbini leo mkono wake wa Kushoto kulikuwa na nani manake nimedokezwa kuwa Askofu Malasusa muda mwingi alikuwa akiyatamka hizi Kauli alikuwa akiangalia sana huo upande.
 
" Tambueni kuwa kuna Kufa "

" Unaweza ukafa hata leo hii hii na sasa hivi "

" Usiringie Mamlaka yako jua kuwa utakufa tu "

" Hata ukinyanyasa Watu hapa duniani jua bado utakufa tu "

" Jifunze kusamehe kwani kuna Kifo mbele yako "

" Tusiishi Kinafiki kwani kuna Kufa "

" Kwenda sana Makanisani au Misikitini hakusaidii kama hujui kuwa kuna Kufa "

Shikamoo Askofu G Malasusa!

Nawasilisha.
dongo kwa Bash Boy hili!
 
Najua anakumbusha ila asisahau kuwa kila mtu atendapo jambo baya hujua kabisa ni baya na Mungu anamuona. Hivyo haina maana kumkumbusha mtu kama huyu anayeipuuzia hata sauti iliyofikaran mwake

Halafu ni kwanini hiyo Kauli ya " Hata ukinyanyasa Watu hapa Duniani jua nawe ipo Siku utakufa tu " aliirudia na kuisisitiza mno?
 
Mkuu samahani Mimi sikuangalia katika Runinga bali nilikuwa namsikiliza tu kupitia Redio ya Taifa ila naomba kuuliza kwani hapo Ukumbini leo mkono wake wa Kushoto kulikuwa na nani manake nimedokezwa kuwa Askofu Malasusa muda mwingi alikuwa akiyatamka hizi Kauli alikuwa akiangalia sana huo upande.

Kwa habari kutoka chombo makini ninachokiamini kinanidokeza kuwa Mawaidha hayo yaliyotolewa na kuhani yalimlenga Mkuu aliyekuwa amekaa mkono wa kushoto ambaye hata hivyo uso wa mkuu huyo ulionekana kuelewa zaidi jumbe hiyo iliyokuwa ikihubiriwa. Macho ya mkuu inasemekana yalikuwa yakipepesa pepesa
 
Malasusa haamini Kama Uchaguzi Mkuu wa 2015 umekwisha Na Safari ya Matumaini imefikia tamati bila ya kufikia lengo
 
Kwa habari kutoka chombo makini ninachokiamini kinanidokeza kuwa Mawaidha hayo yaliyotolewa na kuhani yalimlenga Mkuu aliyekuwa amekaa mkono wa kushoto ambaye hata hivyo uso wa mkuu huyo ulionekana kuelewa zaidi jumbe hiyo iliyokuwa ikihubiriwa. Macho ya mkuu inasemekana yalikuwa yakipepesa pepesa

Huyo Mkuu unamaanisha ni yule Nywele Nyeupe ambaye alikuwa amekaa huo upande au aliyekuwa amekaa mbele yake kama ' benchi ' la Tano kutoka alipokaa Yeye? Mimi muda mwingi nilikuwa nasikiliza Redioni tu ila kama Wewe ulishihudia hebu tiririka na serereka basi Mkuu.
 
" Tambueni kuwa kuna Kufa "

" Unaweza ukafa hata leo hii hii na sasa hivi "

" Usiringie Mamlaka yako jua kuwa utakufa tu "

" Hata ukinyanyasa Watu hapa duniani jua bado utakufa tu "

" Jifunze kusamehe kwani kuna Kifo mbele yako "

" Tusiishi Kinafiki kwani kuna Kufa "

" Kwenda sana Makanisani au Misikitini hakusaidii kama hujui kuwa kuna Kufa "

Shikamoo Askofu G Malasusa!

Nawasilisha.
Chakubanga-Jiwe kalipata dongo mubashara
 
Back
Top Bottom