Sasa si anakuwa na hasira sababu anabeba mzigo mkubwa bila kusaidiana na mkewe?Wengi kufa kwa upweke japo wameoa. Utakuta akiwa mbichi ni michepuko, mkali kama mbogo hataki kusikiliza maoni ya mke hata siku moja wala watoto.
Sasa mke na watoto wanakubaliana na hali wana assume hayupo anakuwa huru anafanya atakavyo! Umri fulani ukifika anatamani apate upendo wa karibu wa mke, apate faraja kwa watoto tatizo linakuwa HAWAJAMZOEA KAMA RAFIKI YAO sasa anabaki na mawazo anakufa.