playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,661
- 1,581
Kuvaa nguo za kubana matako?.. Na kujipodoa mhhhh?...no product ya kariakoo ile siyo tandale Mzee.Siajawahi kuona nyimbo mbovu kama hii..kwanza kiba kaonekana mparakujenda..hajui kuvaa..mshamba..limbukeni..iga mfano wa jirani yako baba tee
Unatumia macho kusikia?..upo juu sana.cjaona alichoimba
Kama hutaki kelele kaishi ICU.nyimbo mbayaaa. mikelele mitupu.
Beat mbovu kwako Mzee... Asa unataka unachopenda ww ndo Lilongwe na wote Mzee?.. Unajua beat nzur kuliko saut Sol?... Unajua beat nzur kuliko Ali kiba?... Ukikosa cha kukosoa bora hata ukaushe bas,siyo unatoa kasoro ambayo haina hata mashiko ili mradi na ww ukosoe tu hahahahaaaa ugonjwa huo unaitwa KIBA FEVERkumbe ww nae mwehu sasa alishikiwa bunduki aingize mistari kwenye beat mbovu? au ndio ushamba wa kushirikishwa na kupanic jiamin kama beat mbovu unasema sio unakwenda kama upepo wakat ni msanii wa miaka nenda rudi
komaa naoMe hawa timu CHAI JABA (DOMO) ndo maana nawanyooshaga tu hawajielewiiii yaaani hata wakimkuta kiba anapiga mswaki watkuja hapa Kiba hapigi mswaki vizur hahahaaaa kaugonjwa ka KIBA FEVER kanawasumbua wanakuwa kama wamelishwa Unga wa Ndele..
Ulikuwa unawatetea Mzee hawa dawa yao hiyo hiyo wakivua shat ww unawavulia chupi kabisa.. Wakikunywea pombe ww unawaogea nazo mazima ...komaa nao
Baada ya kumtukana saana hatimaye kibakuli kajaribu at least...Balozi wa Wanyama katisha kwenye hii video ya dancing! Ametisha kinoma noma.
Ahaaaa Haaaa...kiba wamchangani tu kama simba ataishia humu ndege apandi kimchangan channgan video nzur sema beat mbovu
Ndugu yangu sumbai bado hujaacha majungu tu acha hizoAhaaaa Haaaa...
Kajitahidi mno...!!! Kibakuli....anastahili pongezi hii kidogo nzuri kuliko ile ya mapera plus wale jokeri
tokea enzi zile za malia Salome juu ya kabuli lako naliaaa haaaMuziki umeanza kufwatilia lini mkuu?
Sasa mkuu kumbe we mkongwe...Kiba ana Hit songs zaidi ya milioni..Hizo zote haukuzielewa?tokea enzi zile za malia Salome juu ya kabuli lako naliaaa haaa