Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Wameweza, almost kila kitu, kila mtu... ngoma itabamba kiaina
 
Siajawahi kuona nyimbo mbovu kama hii..kwanza kiba kaonekana mparakujenda..hajui kuvaa..mshamba..limbukeni..iga mfano wa jirani yako baba tee
Hawa ndio waswahili.....

Wivu tu unakusumbua...Hauna lolote....Gubu tu
 
Nlivoipata tu hiki kichupa nkakukumbuka Nifah,team K mwenzangu
 
kiba wamchangani tu kama simba ataishia humu ndege apandi kimchangan channgan video nzur sema beat mbovu
Sasa unamponda Kiba kwa beat ya wimbo alioshirikishwa?..

Ficha upumbavu wako mkuu..Usiifiche hekima yako...

Kiba kashirikishwa kuingiza vionjo na Sauti Sol...Wewe kwa ujuha wako na wivu wako wa Kiswahili unaanza kumponda Kiba badala ya producer aliyewatengenezea Sauti Sol beat...
 
Wimbo mbaya bora Lupela. Huu wimbo nilichokiona ni vichupi tu. Nitashangaa kama utaachwa upigwe hapa nyumbani.

Wimbo upigwe usiku wa manane, unaharibu maadili ya kitanzania.
 
Wimbo mbaya bora Lupela. Huu wimbo nilichokiona ni vichupi tu. Nitashangaa kama utaachwa upigwe hapa nyumbani.

Wimbo upigwe usiku wa manane, unaharibu maadili ya kitanzania.
Haya saaaaasa,kama kawaida yenu.
Kila Kiba akitoa/akishirikishwa kwenye kitu kipya lazima mkiponde na kusifia wimbo wake uliopita ambao mwanzo mliuponda.

Namna hii mnajikuta mnazipenda ngoma zake zote bila kujitambua,unafiki mbaya sana.
 
Wimbo mbaya bora Lupela. Huu wimbo nilichokiona ni vichupi tu. Nitashangaa kama utaachwa upigwe hapa nyumbani.

Wimbo upigwe usiku wa manane, unaharibu maadili ya kitanzania.

Watu wenye chuki binafsi utawajua tu, kila ukitoka wimbo mpya wanasema afadhali uliopita, chuki ni mbaya sana.
Ona sasa ulivyo chuki, wala huna taarifa za kutosha kuhusu ule wimbo, coz hata hujui kama ule wimbo una video mbili.
Badilika ndugu yangu, kuwachukia waliofanikiwa haikusadii wewe kuwa kama wao, jifunze kuwa na upendo kisha fanya kazi kwa bidii.

Ova
 
Leo lupela umekuwa mzuri, teh! hawa jamaa bhana
 
Acha nikufundishe kidogo, ukiwa mmoja huitwa WIMBO, na zikiwa nyingi ndio huitwa NYIMBO.
Kwa kawaida elimu hii ya wingi na umoja hutolewa kwa wanafunzi wa darasa la pili tu, sasa sijui mwenzetu ulikimbia umande.

Ova
ila hili swala liko vibaya. ingekuwa fresh neno nyimbo lingekuwa linawakilisha umoja na uwingi.
 
kumbe ww nae mwehu sasa alishikiwa bunduki aingize mistari kwenye beat mbovu? au ndio ushamba wa kushirikishwa na kupanic jiamin kama beat mbovu unasema sio unakwenda kama upepo wakat ni msanii wa miaka nenda rudi
 
Mnajikita sana kwenye video semeni na kwenye kuimba nani mkali?... Mshaurini diamond pia PLAYBACK ni ujinga kwa jina lake kwa sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…