Sauti yaleta balaa..

Nimegundua kasie ni mpenzi wangu nipeni ushauri wadau kwa mwenendo wake niachane naye au nimsamehe
 
Yaani huyo bwana alikuwa anahisi hiyo sauti yako inatokea kwenye papuchi na sio mdomoni
 
Nimegundua kasie ni mpenzi wangu nipeni ushauri wadau kwa mwenendo wake niachane naye au nimsamehe

Achana nae tuu atakupa presha buree, kwanza mzee halafu pasua kichwa. Bora ujikamatie dogodogo humu ujilie kwa raha na gharama zako....πŸ˜€
 
Kasie ni jikahaba flani tu kupitia mgongo wa ajira...jamani acheni wenye vyeti washike hizo nafasi kuliko kujilimbikizia miajira.
 
Naona unaendelea kumrusha roho

Nop, he knows me deep inside and I know him well... we do not doubt each other.... we give each others pace ...

Happy Daby, Happy Kasie... uwe mpole tu hadi uchaguzi wa Kenya uishe...πŸ˜‰
 
Kasie uwe mahabubu,Haki sitoighiribu [emoji23]
Pendole kama thawabu,Moyoni uwee Tabibu [emoji23] hahaha nitakuwa mwalimu mwadilifu [emoji23]

Ni hayo maudhui ya sentensi zako, zinasimumua nafsi na kupumbaza hisia,unaweza kusahau shida ndogo ndogo [emoji23]

Oh really? I`m at the ready......Your empty of everything except sweetness
 
Nop, he knows me deep inside and I know him well... we do not doubt each other.... we give each others pace ...

Happy Daby, Happy Kasie... uwe mpole tu hadi uchaguzi wa Kenya uishe...πŸ˜‰
Hey mamy, nimekumiss eti [emoji39]
Hhahahahahahahaaa in brackets... (ngoja uchaguzi wa Kenya uishe..) yuko kwenye kamati maalum aka special task. Salamu zimemfikia..

cc: Daby
 
Kasie uwe mahabubu,Haki sitoighiribu [emoji23]
Mahabubu ndo mie hapa na kwako nimejileta...
kama kitumbua ndani ya kikaango..πŸ˜›

Pendole kama thawabu,Moyoni uwee Tabibu [emoji23] hahaha nitakuwa mwalimu mwadilifu [emoji23]
Mahabat... nawe uwe daktari kutibu maradhi yangu...
Shaka nawe sina, uadilifu ni yako sifa...
Usukano nakupatia uyasongeshe ya Kasie...

Ni hayo maudhui ya sentensi zako, zinasimumua nafsi na kupumbaza hisia,unaweza kusahau shida ndogo ndogo [emoji23]
Hhahahahhaaaa unanihorojesha ujue....

Oh really? I`m at the ready......Your empty of everything except sweetness
Aaaahahahahahaaa Kenii, please allow me to call you that or if it doesn't suit you, I'll go for a whole name.

Then am ready to.... what are you waiting for... lets go...
 
Kitumbuacho cha pwani?
Kwetu uzaramoni,
Au kule pangani?
Tanga yetu kunani
Utamu wa Kitumbua huooo

Nilijaribu cha Jeni
Kurudi sikutamani
Sikufanya Kusudi,
Mapishi hayafanani,
Utamu wa kitumbua huo

Chako chanibarizi
Kukila sioni soni,
Ukinipa na mchuzi
Nakulamba kama koni
Utamu wa kitumbua huo

Mapishio si hirizi,
Ufundi wa Jikoni
Moyoni nimekuridhi
Nakuonga hata mboni
Utamu wa kitambua cha Kasie

A woman only lived in our imagination,is walking down JF.......What a Wonder, I know of no way that i can tell you adequately how much i enjoy this. You're too funny to handle Kasie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…