Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Sauti ya ujerumani ilirusha matangazo Ya sharif HAMAD akionyesha kuwa kashinda Uraisi Zanzibar na kutoa matokeo yasiyothibitishwa na tume.

Kitendo cha idhaa ya UJermani ni ukiukwaji wa sheria ya Uchaguzi ya Tanzania.

Tume ya mawasiliano ifungieni Radio SAUTI ya ujerumani kwani ni chombo cha kichochezi kinachofanya kazi kuleta vurugu na fujo Tanzania.

Hili wamelifanya kusudi kuchochea machafuko
 
Namuomba Mungu Ombi hili "yeyote atakayeshiriki zoezi la wizi wa kura ama kupiga watanzania katika harakati zao kutafuta mabadiliko kwa amani kabisa, apate mapigo na asisimame tena"
 
Grow up my friend! You still live in the 18th Century........Onyesha Hekima yako na ficha Upumbavu wako.

Zana hizi za google na facebook bado una encourage serikali kufungia vyombo vya habari?? Watu kama nyinyi hata mngepewa unyumba kumi.......mngekuwa madikteta...God forbid..muendelee hivo hivo kutumiwa na kubeba mikoba ya waajiri wenu.
 
Back
Top Bottom