Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

kama umelala unajuaje kama ni saa kumi ndio sauti inakuja ?..., anyway mambo ya majini au mapepo mimi huwa siyapi nafasi cha maana kama hupendi hio sauti set alarm kwenye saa kumi kila siku ikuamshe ufanye shughuli nyingine za kujenga taifa (turning negative into positive) pia ni vema ukamwambia wife tatizo lako mkashauriana.., ila nadhani its just a dream
 
I wish siku 1 huyo wanaemwita jini mahaba kama ni makali anakidhi vigezo vyangu akatize anga zangu ntamduu rough sex hadi atoke nduki hatarudi tena nna hakika...!
 

huyo ni pepo mahaba anakunyemelea, watafute walokole wakuombee utapona tu, ukienda kwa manyaunyau kama wengine watakavyokushauri utakuwa umeharibu mwelekeo wa maisha yako kabisa. hili pepo usilifanyie mzaha mwisho wake huwa linavunja ndoa za watu na ukiwauliza hakuna anayeweza kutoa sababu za msingi

amani unayoiona sio amani ya Mungu ni ya shetani, ndio maana hata wengine wanaona amani kuzini na waume/wake za watu. kumbuka sio kila amani inatokana na Mungu

watafute walokole watakupatia tiba ya kudumu, na utayafurahia maisha yako
 
Hahahahahahaah! Hiyo ni sauti ya yule HG wako aliyekuwa mrembo zaidi ya mke wako!

Hahahahahh! Yule nilishamsahau na sauti hii haifanani na yake! Japo namkumbuka maramoja moja kimawazo!
 

Asante sana, nimejifunza kitu kutoka kwako kwamba kumbe sio kila amani inakuwa amani ya kweli.
 

......

Ndugu yangu umenikumbusha kisa cha imani moja hivi kubwa tu ambayo mwanzilishi wake kilimtokea kisa kama hiki...lakini yeye kilimtokea mbali na nyumbani..
..sasa aliporudi nyumbani na kumweleza mkewe, mkewe akamwambia huyo ni malaika alie wahi kumtokea mwana wa Mungu kwa hiyo na wewe ni mtume! mke akampeleka kwa mjomba(wa mkewe,aliekuwa amemdokeza hali ya mumewe) ..mjomba nae kama alivyoambiwaakasema yule aliekutokea ni malaika, hivyo wewe ndie mjumbe wa Mungu!!

Basi ikiwa ndivyo hivyo imani ikakua na kukua na kukua....hadi kesho....lkn chanzo chake ni kama chako....

...hivyo ndugu angalia, unaweza kupata utume kwa kuambiwa huyo ni malaika kumbe ni ibilisi!! take care!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…