Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini


Kikikiki huyo Popobawa hana nafasi kwangu katika Jina la Yesu!
 
the guy is already married kama umesoma vizuri post yake! kifuatacho ni jamaa kumchukia mkewe na ugomvi utakaopelekea ndoa kuvunjika ili jini limmiliki vizuri!

asante mkuu ubarikiwe kwa kunionesha hilo sikuona hiyo kitu ila naamini kaelewa vizuri
 
Hata Wanafunzi Wa I.F.M walisema Hivyo Hivyo Kipindi Wanapakuliwa, Shauri Yako Weyeeeeee...Unasema Jina La Yesu Alafu Moyoni Mwako Mtelu.. Fahamu kwamba ucpotangaza Lazma Arudi Tena Wiyelele
 
Mi nitaomba tu iwapo kweli zitapungua maombi yatazifanya zirudi maana sikuchagua kuwa niwe naitwa au kusumbuliwa na hii sauti.

Hyo sauti ni jini mahaba na litaondoka kwa kusoma Neno la Mungu kwa nguvu na bidii, Ebr 4;12 neno la Mungu ni upanga! SOMA NENO, SHIKA NENO na TENDA NENO! Na ukisikia hyo sauti taja Jina la Yesu mara tatu na kusema unajifunika kwa Damu ya Yesu ya thamani kabla hujalala! Be careful.
 
natamani kuona komenti ya Kaunga au King'asti hapa.

Usipate Shida Mkuu, Kaunga kasema hivi:

Mimi nilijua tu, kumtoa kasoro na kumchukia mkeo kiasi kile ni dalili ya kuwa na spiritual husband; sasa fuatilia business au kazi zako; uwezekano mkubwa zinayumba, hopefully hautasema mkeo ana gundu.



King'asti kasema ni pepo.

Nilimjibu Kaunga kwamba kazi na biashara zinakwenda vzr tu hazina tatizo. Nakubaliana na King'asti moja kwa moja kwamba huenda ni pepo linataka kuchukua advantage ya maisha ninayoishi lakini nalikemea kwa Jina la Yesu
 
Hapo kwenye mapepo ndo huwa sielewi


Mie nadhani 'mind' yako imetekwa au imekuwa 'weak' kutokana na migogoro uliyonayo na mkeo

Ndo maana unatafuta 'comfort' usingizini, kwa kusikia sauti nzuri ya mwana mke ikikubembeleza
Ni kile unachokikosa kwa mkeo

Ukisuluhisha au ukiimarisha uhusiano wako na mkeo hutakaa usikie sauti hizo

Fanyia kazi 'Power of your mind' hutakaa usikie kitu

"You have power over your mind - not outside events. Realize this, and you will find strength."
― Marcus Aurelius, Meditations

 
angalia huenda akawa ni POPOBAWA anakulia mingo kwa style hiyo, ukiitika tuu mpango wa kigamboni na watoto wa IFM utakula kwako. hahahahahahaa
 
 
hhahhhhahahhahah nimecheka hii mada wengi tumekuwa watabibu tunaaguwa....lol mie naungana na huyu kaka hapo juu kuwa huyo mkeo ulimuoa tu hakukidhi vigezo vyako vyote,and kwako kigezo kikubwa kwa mwanamke ni sauti so in your head umecreate imaginative woman/perfect mwenye vigezo vyote/mwenye sauti laini ndio huyo anakuita in subconcious mind sababu ni tendo ambalo ungependa ufanyiwe na mkeo:bowl::bowl::bowl: =
 
Hapo kazi ipo! Sasa wenye sauti kama ya wanaume hamna nafasi kwa [MENTION]Wiyelele[/MENTION]
 
Wiyelele naomba unipigie kwa namba hii na tuongee ukweli 0687 248645
 
nikwambie!
hakuna cha jini mahaba wala nini! umemchukia sana mkeo kiasi cha kuamini kuna mwanamke mwingine mzuri anayekufaa umemtengeneza kichwani kwako na hiyo ni akili yako tu inarudisha kile unachowaza mchana kutwa!

Hii yaweza kuwa kweli. Na inawezekana kabisa kuwa kuna mrembo wa watu huwa anapita mbele ya nyumba yake, basi yeye anabaki kumkodolea na kutamani mambo mengi juu yake. Sasa akienda kulala ataacha kusikia mrembo anamuita kweli?
 

mi si ndo maana nakwambia una akili kama yangu dogo!
 
Ni wakati/saa ngapi unaposikia hio sauti ya "kike"? Ukishajua ni saa fulani; weka ALARM time hio iwe inaita au sema hivi... Hii ni Sauti ya MMEEeeeeeeeeeeeee........ Weekendi njemaaaaaaa...byeeeeeee
 
Akikuita tena we mjibu MiMi HAPA MSWEETIE WAKO NAKUSIKILIZA
UNA LIPI LA MUHIMU?
 

Hahahahahahaah! Hiyo ni sauti ya yule HG wako aliyekuwa mrembo zaidi ya mke wako!
 
kaka sio inshu na usipedee kufulahia sauti hyoo kaka hayo ni majin mahaba so wewe muombee mungu wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…