Sauti ya dr wilbroad slaa

Nyie nadhani mnapenda hata ush*zi na mik*jo ya huyo. Blind supporters!
Nyie watu wa mjini mmemzoea huyo jamaa hamuwezi kuona umuhimu wake. Sisi wa vijijini ndo tunajua umuhimu wake... Alituahidi kutukomboa na nyumba zetu za tembe... Nyie town mna ajira, mna pensheni, mna bina ya afya, mnakunywa bia na soda wakati huku vijijini tunayasikia tu hayo mavitu. Tunahitaji mkombozi, mkombozi pekee ni Dr Slaa
 
Nyie nadhani mnapenda hata ush*zi na mik*jo ya huyo. Blind supporters!


Jesuit,pole sana utaumiza roho yako bure.yatakudhinda.

Shangazi zako,bibi zako,mama na baba zako wadogo na wakubwa,wadogo zako,kaka na dada zako katika ukoo wako wanateseka,i wish ungeacha ujinga huu na kuwa mtu makini kidogo.
 
Nyie nadhani mnapenda hata ush*zi na mik*jo ya huyo. Blind supporters!
NINAFIKIRI WEWE NDIO MWENYE MATATIZO MAKUBWA YA AKILI. JARIBU KUJIULIZA KIDOGO KABLA HUJACHANGIA. UTAKE USITAKE WATU WANAMPENDA SANA. UTAJIUMIZA BURE jesuit
 
Back
Top Bottom