Sauti ya ajabu ajabu VS Sauti za mahaba

Sauti ya ajabu ajabu VS Sauti za mahaba

swahiba daima

Member
Joined
Apr 28, 2015
Posts
97
Reaction score
10
Jamani kuna msichana yeye nikimshika tu kidogo kwenye nanihii anatoa masauti kama ya mnyama gani sijui nikimgegeda mpaka napata kinyaa natamani nimtie makofi maana analia kienyeji kabisa kama vile amekabwa na vibaka.,dah huu mtihani wadau.
 
Upo nae hapo muda huu?
 
Hahahaha umenikumbusha jambo kila nkikumbuka najicheka...

Mdada Jirani yetu alikua kila usiku anapiga makele sana kama vile Anakabwa au anaumwa basi namuonea huruma najisemea huyu dada anateseka sana,asubuhi namuhadithia mama na wengine basi wanacheka tu hawajibu kitu hahahahah miaka michache after nlipata jibu bila ya kuambiwa na mtu kumbe yule dada ni orgasm tu makelele yote yale lol
 
nawewe unaliaga hivo? basi nipm nna biashara na wewe
 
Sijawahi kucheka JF hata siku moja. kila siku niko siriaz napambana na wanaoichukia CCM na Uislamu tu basi. Lakini leo nimecheka sana!!!!!!! Teheteheteheteheteheteheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Wengine wanakera mtu analia kama kinanda cha Parokia! hiyo yote ili akuibie tu.
 
Hayo ni mambo ya chumbani kwa nini unayaleta uwanjani.
 
Tatizo lako pumzi ndogo, piga zoezi hadi ukimshika sauti zote zinamuishia.
 
Na mwanaume rijali hazalilishi wanawake

Siyo tu Urijali, bali hekima na busara pia muhimu. Mambo wamefanya chumbani yeye anakuja kuyanika hadharani siyo sifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom