Sauti ya ajabu ajabu VS Sauti za mahaba

Sauti ya ajabu ajabu VS Sauti za mahaba

Hahahaha umenikumbusha jambo kila nkikumbuka najicheka...

Mdada Jirani yetu alikua kila usiku anapiga makele sana kama vile Anakabwa au anaumwa basi namuonea huruma najisemea huyu dada anateseka sana,asubuhi namuhadithia mama na wengine basi wanacheka tu hawajibu kitu hahahahah miaka michache after nlipata jibu bila ya kuambiwa na mtu kumbe yule dada ni orgasm tu makelele yote yale lol

Dada naomba msaada !
Hiv mtu anaitwa orgasm huwa yukoje kwa hiyo mambo
 
ya chumbani kwenu yanatuhusu nini , ipo siku utatuambia hata mnavyoandaana na mpaka ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom