Sauti nzuri!!

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Sauti ni kivutio kikubwa katika mapenzi jamani?.napenda kumpigia galfnd wangu simu,akiongea tu nafurahi,is it kweli sauti inaweza kumnasa mtu akakupenda.
 
Biologically sauti ni kichocheo chenye mvuto sio kwako tu kutoka kwake! Hata sauti yako kwake ina chocheo pia! Na hii si kwa utashi wetu! Ni kwa utashi wa alietutengeneza katika difference gendar.
 
Ni kweli kuna sauti za kumtoa nyoka pangoni..Niliangea na customer care wa mtandao fulani wa simu mpaka leo ctaisahau ile sauti nyororo na tamu.
 
duuh!kumbe kweli..basi my gal natakaga aongee tuu,mpaka anashangaa..kumbe nimetekwa teh teh
 
Biologically sauti ni kichocheo chenye mvuto sio kwako tu kutoka kwake! Hata sauti yako kwake ina chocheo pia! Na hii si kwa utashi wetu! Ni kwa utashi wa alietutengeneza katika difference gendar.

Madada wengi wanapenda mabas ya men,while us twapenda sauti nyororo..akiongea tu,hutaman kukata kama ni simu.
 
Kama ilivyo sura nayo ni kivutii kingine.

Lizzy ! Unasema sura ? Mi nakupinga ! Kuna jamaa alikua anaogelea akawa amezama majini mwili wote akabakiza kichwa tu nje ya maji, kutokana na sura yake ilivyokua nzito na mbaya waliokua wakija kuchota maji wakawa wanaogopa kuchota maji wakidhania wamemuona Kiboko ! Nambie hiyo face kama utakutana nayo kutwa x 3 !
 
Mkuu pigia mstari kabisa!!! Wangu pamoja na vigezo vingine vyote kuwa sawa... Sauti yake ni mwisho wa maneno kwangu! Na uzuri harembi wala nini, yeye yake ilisharembwa naturally!!! Yaani akiongea majoka yote yanatoka mapangoni kwa hiari!!! Kuna watu wamejaaliwa sauti jamani acheni tu...
 
Sauti kwa kweli inaeza pia kukufanya utengeneze picha kichwani kwako kama ni ya mtu ambaye hujawahi kumuona....kwamba yukoje anafananaje anaendana na sauti yake au ndo kama hivo tena
 
Mkuu acha tu,utashangaa anakuuliza dear,umeelewa nlichokuambia?.Mzee mzima unasema embu rudia tena kidogo..duuh..
 
Sauti kwa kweli inaeza pia kukufanya utengeneze picha kichwani kwako kama ni ya mtu ambaye hujawahi kumuona....kwamba yukoje anafananaje anaendana na sauti yake au ndo kama hivo tena

Ni kweli usemalo mkuu
 
Sauti ni kivutio kikubwa katika mapenzi jamani?.napenda kumpigia galfnd wangu simu,akiongea tu nafurahi,is it kweli sauti inaweza kumnasa mtu akakupenda.
Other things kept constant,
Sauti Nzuri Sura Mbaya v/s
Sura Nzuri Sauti Mbaya utachagua nini???
 
kuna wengine wamejaaliwa vyote mkuu,saut,uzuri,kila kitu.@Mi cna la kuchagua hapo,coz am talkin da reality about my gal..
 
Lizzy ! Unasema sura ? Mi nakupinga ! Kuna jamaa alikua anaogelea akawa amezama majini mwili wote akabakiza kichwa tu nje ya maji, kutokana na sura yake ilivyokua nzito na mbaya waliokua wakija kuchota maji wakawa wanaogopa kuchota maji wakidhania wamemuona Kiboko ! Nambie hiyo face kama utakutana nayo kutwa x 3 !

Kwasababu tu sura, sauti,umbo ni vivutio haina maana kila mtu anavyo vinavyovutia wengine. Kuna wadada wana sauti nzito mpaka wanaume wengine hawawataki, kuna wakaka wana sauti na sura laini kiasi kwamba hata mi siwataki.
 
Back
Top Bottom