Sauti kwenye LED TV

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Heshima wakuu,
Ninaomba msaada kwa anayejua kurudisha sauti kwenye Samsung Led TV, nikiongeza sauti inatokea alama ya headphone wakati sijaweka headphones.
Shukrani sana
 
Chomeka headphones pengine utapata option ya ku disable headphone. Then sauti itarudi. Niliwahi kupata tatizo hilo kwenye simu ambapo internal microphone iliacha kufanya kazi, alama ya heaphone ikawa kwenye screen,nikali solve kwa njia hiyo.
 
Heshima wakuu,
Ninaomba msaada kwa anayejua kurudisha sauti kwenye Samsung Led TV, nikiongeza sauti inatokea alama ya headphone wakati sijaweka headphones.
Shukrani sana

Je kuna mtu aliwahi kuingiza an oversized headphone plug kwenye TV yako bila kukwambia? Kwa kawaida switch ya socket ya TV au any audiovisual system ianapaswa kuwa NORMALLY CLOSED at all TIMES, inafunguka tu unapoweka plug ya saizi sahii, ukifanya kosa ukaweka an oversized plug kuna uwezekano mkubwa kwamba unapotoa plug switch inashindwa to close i.e inabaki hiko open hivyo ku-disconnect circuit ya kwenda kwenye speaker, kumbuka unapoweka headphone speaker zinakuwa disconnected - hivyo kwenye OSD itaonyesha kana kwamba umeweka headphone wakati si kweli hilo kama nilivyosema litakufanya kukosa sauti kwenye spika.

Hivyo nakushauri ujaribu kuangalia kama hiyo switch ime-make au hiko open. Ndio hilo MKUU - Goodluck.
 
asante mkuu, hiyo switch naiangalia kwa wapi?
 
asante mkuu, hiyo switch naiangalia kwa wapi?

Ah, Hebu angalia headphone plug yako kwanza - ukiangalia kwa umakini utaona kwamba plug imetengwa sehemu mbili inagawa kwa macho inaonekana kama nikachuma kamoja karefu tu, lakini utaona katikati au mbele kidogo kuna plastic ring imetenganisha conductors hizo i.e ni waya mbili zinazo pita ndani kwa ndani kwenye conductors hizo ambazo ziko cylindrical. Hapo naeleza Headphone socket ilivyo - hiyo haina tatizo

Sasa kwa kijibu swali lako, mtafute mtu mweledi akafungue TV yako, achunguze tundu unalo ingiza headphone ahakikishe kakibati kadogo kanagusana na ground ya socket hiyo, kawe kanaopen unapo ingiza headphone - ukitoa headphone kagusane na ground i.e return wire. kama kanabaki open mwambia aka-prise up kagusane na ground in other words kakae kako normally closed sijuhi naweza kueleza kivipi in swahili. Please let me know kama ujanielewa.

Ila ujasema kama plug ni hii ya kawaida au USB? hapa nazungumzia plug za kawaida.
 
asante mkuu Bukyanagandi, niliweza kutatua tatizo kwa ku unplug system nzima, niliporudishia tatizo likawa limekwisha. Na kosa nililofanya ni kuweka cable sehemu ya headphone ndio maana ikastuck. asante sana mkuu kwa ushauri wako ulioenda shule
 
Last edited by a moderator:
Jamani mi nina Benq LCD nikiwekadvd inakuwa haina rangi,nifanyeje,kwenye tv ni mambo mswano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom