Acha Ushamba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 202 Reaction score 78 Aug 9, 2014 #1 Nipo hapa napiga mzigo mmoja hv! Natumia laptop hp elitebook ya ofisi moja hv ya mshikaii wangu, mara taaa sauti ya laptop haipo! Nikicheza cd sauti haisikiki! Nikiwasha na kuzima hakuna sauti! plz mwenye knowledge kidogo asaidie! ahsanteni sana!
Nipo hapa napiga mzigo mmoja hv! Natumia laptop hp elitebook ya ofisi moja hv ya mshikaii wangu, mara taaa sauti ya laptop haipo! Nikicheza cd sauti haisikiki! Nikiwasha na kuzima hakuna sauti! plz mwenye knowledge kidogo asaidie! ahsanteni sana!
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Aug 9, 2014 #2 huenda ume mute au drivers za sauti zimekufa