Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,603
- 14,076
Umeona mbali Sana mkuu kongoleChuo alichosoma popoma la kutukuka ni chuo uchwara tu.
SAUT ni shule ya msingi iliyo changamkaNdio chuo hikihiki kinachosifiwa kila siku humu na popoma GENTAMYCINE ?
😂🤣😅😆😁😄😃😃SAUT ni shule ya msingi iliyo changamka
GENTAMYCINE toa kauli kama 'alumni' wa Saut.Ushauri kwa Kaka,Dada,Mama,Baba,Mjomba,Shangazi na walezi usije mshauri kijana wako wa kike au wa kiume kuomba chuo Cha SAUT-Malimbe Mwanza tegemea yafuatayo
* Carry ya kutafutiwa na mhadhiri ushaidi waulize wanafunzi wa BAMC-3 juu ya course ya TV production
* Incomplete kwenye matokeo ni jambo la kawaida unaweza pata incomplete ukiwa first year mpaka unafika third year unayo licha ya juhudi binafsi kuiondoa kwenye hili wanafunzi wa PR ni wahanga na mashaidi wazuri Kama una ndugu anasoma uliza.
* Dharau wafanyakazi wengi SAUT sio wawajibikaji kutimiza wajibu wao huona Kama ni hisani pia dharau kwa wanafunzi mfano ni ofisi ya IT
* Wanafunzi kurudia course pale suala la incomplete likiwa ngumu mwanafunzi hushauri kurudia course ( carry) na kulipia kiasi Cha 50,000/=Tsh wakati sio kosa lake ni kosa la mfumo SIM
* Penalty ukiwa na deni la chuo na muda ukipita wa kulipa ndugu yangu penalty inakuhusu 100,000/= hata Kama una daiwa 10,000/=
* Kukosa ID ya kufanyia mtihani ada umelipa huna deni lakini kukosa ID ya kufanya mtihani ni kawaida hili ndo tatizo kubwa kwa Sasa mpaka muda huu watu hawajui hiyo jumatatu wataingia kwenye chumba Cha mtihani au laa.
* Chuo kujiendesha kienyeji.yaani unawakusanya wanafunzi wa course zote katika chumba kimoja alafu wanasimama watu mbele wanaita majina ya ID za mitihani [emoji15][emoji15]
Haya nikwa machache tu uzuri humu wadau wapo wengi Sana watakuja kuongezea.
"Zingatia ushauri huu utakuja kunishukuru baadaye"
Mkuu kuna ujinga mkubwa Sana SAUT yaani lecturer anawapa carry takribani course nzima alafu uongozi upo tu na taarifa wanazo sijui ndo kukaa kimya ili wavune zile 50,000/=[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji38][emoji16][emoji1][emoji2][emoji2]
Viongozi Wapo Wanakenua Meno TuMkuu kuna ujinga mkubwa Sana SAUT yaani lecturer anawapa carry takribani course nzima alafu uongozi upo tu na taarifa wanazo sijui ndo kukaa kimya ili wavune zile 50,000/=
Hivi na wewe si umesomea saut😂😂Viongozi Wapo Wanakenua Meno Tu
Mbona chako kinasifiwa kwa Ushoga ulioutoa huko na wala hukisemi hapa? Ndiyo I'm proud of my SAUT tena sana sawa?Ndio chuo hikihiki kinachosifiwa kila siku humu na popoma GENTAMYCINE ?
Naona popoma Ana type😂Chuo alichosoma popoma la kutukuka ni chuo uchwara tu.
Duuu hatari Sana Kuna ulazima serikali kupitia TCU ifanye jambo SAUT Kuna madudu mengi sanaChuo cha mitaani hicho...shahada ya kutoka chuo cha Saut huwa haina thamani mtaani muulize.....
Hii ndio sababu imemfanya popoma kuwa jobless mpaka leo na kutawaliwa na stress?Chuo cha mitaani hicho...shahada ya kutoka chuo cha Saut huwa haina thamani mtaani muulize.....
Masha, Luchelele,Ngaza,kijiweni,sweya nkOyaa nikitaka nitafune watoto wa SAUT kiurahisi natakiwa niwe naishi maeneo gani hapo MWANZA ?
Disco SAUT [emoji1787][emoji1787]Ulipigwa Disco nini
Hizi Elimu Hapo Malimbe Mwanza ShidaHivi na wewe si umesomea saut😂😂