Saut-mwanza jamani boom lini????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saut-mwanza jamani boom lini?????

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Wa Bagamoyo, May 2, 2012.

 1. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Eti wadau mwenye info pls afunguke mana jamaa wapo kimya tu.
   
 2. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Info wadau kwa hili
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Ingia kwenye website ya Heslb utakuta namba zao, then jaribu kuwaulizia. Hapa hakuna mpiga ramli ambaye anaweza kukutabiria hilo.
   
 4. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha kuzingua ww au ndo wale wale msio pata mnabaki kusumbua
   
 5. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,953
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  me hata ada ya kwanza hawajanilipia bado leo wametoa majina ya wanaodaiwa naona na mimi nipo! Inabidi kesho niende main kwa bursar! Hawa bodi nao wanazinguaaaa tu.
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Wenzenu tumeisha pewa cku nying hadi tumeanza kufulia.
   
 7. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Bwana atawalinda msifadhaike mioyoni mwenu.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Maisha ya chuo mabaya kinomaaa bumu miezi miwili kwa miwili khaaaa
   
 9. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia maneno yako rafiki
   
 10. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Fatilia kaka mana wanazingua hawa jamaa
   
 11. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kaka hiki chuo ya watu wa mungu so hakuna jinsi mzee vumilieni tu.
   
 12. m

  myasis Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Nanuku "Ni bora wananchi kula nyasi lakini ndege ya rais inunulike" mwisho wa kunukuu
   
 13. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ???????
   
 14. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Chuo ulifikaje?Mbona hata kuandika kiswahili huwezi.Kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi kushangilia mkopo,maana ya mkopo ni kwamba wazazi/walezi hawakuandaa akiba kwa ajili ya elimu...walizaa wakijua kuna serikali itabeba mzigo wa kusomesha.
   
 15. Wa Bagamoyo

  Wa Bagamoyo Senior Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kiswahili gani ambacho ww hujaelewa?? Na nani hapa anashangilia mkopo? Embu elewa kabla ya kukurupuka then masuala ya wazazi naomba yatoe hapa si kila mtu ana mzazi anaemsomesha.
   
Loading...