Hoja yako nini ? Subiri utaona tu MTU mwenyewe upo orientation week kelele kibao haaaMimi ni first year hapa saut,nimesajiliwa kwa laki tatu tu na hawakunisumbua labda inategemea na huyo mtu alikutana na nani.Kuhusu hostel sikai za ndani na hawajanisumbua wala nini na rafiki zangu wanne wapo wamepanga kitaa.Chuo nimekiona kizuri mnoo sijaona izo longolongo unazosemea.
Acha kunitisha kizembe wewe.Wewe ndo umeandika hoja hapo... Yani unaprove ulivo limbukeni.Hoja yako nini ? Subiri utaona tu MTU mwenyewe upo orientation week kelele kibao haaa
Sikutishi ila kitakutisha chuo chakoAcha kunitisha kizembe wewe.Wewe ndo umeandika hoja hapo... Yani unaprove ulivo limbukeni na msengerema.
Au sio? Popote kambi man,wagumu tunadumu.Sikutishi ila kitakutisha chuo chako
Udsm main campus rooms karibia zote mbovu ila watu wanahaha kuzipata...ila tukumbuke ule usemi penye miti mingiHii dunia bhana,UDSM kupata room ni dream ya kila mwanafunzi,UDOM naona kila mwanafunzi ni lazima apate room, SAUT wadau wanalazimishwa kukaa hostel na ninasikia kuna chuo hawana hata room moja kwa ajili ya mwanafunzi
Kwa maelezo yako tu sizani hata kama shule umeenda wewe..Wasalaam.
Hiki chuo ni miongoni mwa vyuo vyenye miundombinu mibovu haswa yaani nakifananisha na Pugu secondary shule niliyosoma A'level.
Najua wengi mtakasirika sana lakini ndo UKWELI, pia haya sio yalionifanya nianzishe hii thread.Yalionifanya nianzishe hii thread ni haya:
1. Hili la kwanza limeshazungumzwa na Rais nalo ni kuwahi kufungua chuo halafu kugoma kupokea wanafunzi bila kulipa ada. Hili jambo linatesa sana vijana hasa wale wa kaya maskini. Sitalizungumzia sana kwa kuwa kwa sasa lipo known kwa kila mtu. Mdogo wa rafiki yangu amefukuzwa chuo mpaka alipe nusu ya ada na yeye anategemea boom hana baba na ***** kajitahidi sana kumsomesha secondary na alipokuwa anaenda chuo alipewa laki mbili tuu, baada ya kuomba akaambiwa alipe laki nne kwanza so ikabidi nimkopee likiingia boom anirudishie. Naomba uongozi wa vyuo vyote nchini na wahusika wakuu mlifanyie kazi agizo la mh.Rais
2. Lakini ujinga level ya degree na sijui wameutoa wapi hawa jamaa wa SAUT main campus Mwanza la kulazimisha wanafunzi kukaa kwenye hostel zao. Kulisikia hili nilikasirika sana na chuo chenyewe kilivyo kibaya, utamlazimishaje mtu kukaa kwenye hostel zenu?
>Je ndo kusema mnawapenda sana au mnafanya biashara kwa lazima?
>Au mnalazimisha kwa kuwa hostel zenu mbovu mnahisi mtakosa watu ?
Embu acheni ujinga bana kama mnataka watu boresheni hostel zenu hizo ambazo zipo kama za secondary yenu ya Pugu.
Rais yupo sahihi hivi vyuo vingine bora vifutwe tuu.
Umenena vyema hawa division five wanaongea ujinga tu hapa enzi zetu za father kitima daaah kwanza hapo chuo hlo jam la kuwahi viti vya mbao ilikua tabu tupuWote mnaongea hapa haijui SAUT zaidi mmfika na kuona chuo nakuondoka SAUT ya leo hii 2016 si SAUT ya miaka mitano nyuma ukisema leo saut miundo mbinu yake mibaya leo hii kwa mtu aliyesoma soma hapo zamani kidogo hawezi kukuelewa atakuona wewe ni mnafiki
Ukisema SAUT leo wana garama za ajabu ajabu atakuona wewe ni mnafiki
Kwanini nasema hivi matatizo ambayo unayasema na ambayo wadau wameongezea hapo yalikuwepo miaka mitano iliyopita na si leo
SAUT ya leo miundombinu mbinu mizuri vyoo vipo vingi, maeneo ya kujisomea nje ya mktaba yapo mengi, lecture room zipo za kutosha tena mmefungiwa na viti vya kisasa zamani wenzenu tulisomea kwenye viti vya mbao vya kuhamisha, lecture room chache,
SAUT leo huduma za kibenki zipo mlangoni unalipa ada mlango huu unachukua risiti mlango huu, saut leo si mpaka upande gari uende utawala leo hapo hapo unatoka darasani unaenda utawala
SAUT leo wanafunzi mnalazimishwa kukaa hostel za chuo jamani zamani kupata hostel ya chuo mtu ana honga maana zilikuwa chache alafu mtaani uko hostel hazishikiki bei kuanzia laki 6 mpaka milioni moja na mwenye nyumba anataka cash siyo nusu nusu
Suala la chuo kufunguliwa mapema kwa saut ni kawaida si jambo geni
Kuna kitu mdau kaongelea kuhusu Sijui garama za kila mwaka kujiandikishia hilo suala Siku hizi alipo hizo garama zipo kwenye ada walishaga ziondoa
Kitu kingine mwanafunzi anaendelea na masomo hawezi kuambiwa arudi nyumbani kisa hana ads au boom bado yeye aingie vipindi kama kawaida Siku akipata pesa akajisajili
Mwanafunzi aliyepewa admission saut na hana pesa aende kuongea na uongozi
''WE BUILD THE CITY OF GOD'''
Kwa kuwa bado nakusanya kianzio,nashukuru kwa taarifa niko mbioni kwenda kujionea mwenyewe.naamini kuwa popote kambi,kama kuna kubanwa basi sina jinsi nitajitahidi kuwaelewa nipate nilicho fuata.Wasalaam.
Hiki chuo ni miongoni mwa vyuo vyenye miundombinu mibovu haswa yaani nakifananisha na Pugu secondary shule niliyosoma A'level.
Najua wengi mtakasirika sana lakini ndo UKWELI, pia haya sio yalionifanya nianzishe hii thread.Yalionifanya nianzishe hii thread ni haya:
1. Hili la kwanza limeshazungumzwa na Rais nalo ni kuwahi kufungua chuo halafu kugoma kupokea wanafunzi bila kulipa ada. Hili jambo linatesa sana vijana hasa wale wa kaya maskini. Sitalizungumzia sana kwa kuwa kwa sasa lipo known kwa kila mtu. Mdogo wa rafiki yangu amefukuzwa chuo mpaka alipe nusu ya ada na yeye anategemea boom hana baba na ***** kajitahidi sana kumsomesha secondary na alipokuwa anaenda chuo alipewa laki mbili tuu, baada ya kuomba akaambiwa alipe laki nne kwanza so ikabidi nimkopee likiingia boom anirudishie. Naomba uongozi wa vyuo vyote nchini na wahusika wakuu mlifanyie kazi agizo la mh.Rais
2. Lakini ujinga level ya degree na sijui wameutoa wapi hawa jamaa wa SAUT main campus Mwanza la kulazimisha wanafunzi kukaa kwenye hostel zao. Kulisikia hili nilikasirika sana na chuo chenyewe kilivyo kibaya, utamlazimishaje mtu kukaa kwenye hostel zenu?
>Je ndo kusema mnawapenda sana au mnafanya biashara kwa lazima?
>Au mnalazimisha kwa kuwa hostel zenu mbovu mnahisi mtakosa watu ?
Embu acheni ujinga bana kama mnataka watu boresheni hostel zenu hizo ambazo zipo kama za secondary yenu ya Pugu.
Rais yupo sahihi hivi vyuo vingine bora vifutwe tuu.
Una maelezo mazuri ila kuna sehemu mbili umevuruga. Hostels UDOM zinajitosheleza lkn hukatazwi kukaa nje..Kwa maelezo yako tu sizani hata kama shule umeenda wewe..
Chuo gani ambacho wanafunzi anasajiliwa bila kulipa kiasi chochote?? Hata kama unalipiwa 100% kuna amount lazima ulipie.
Afu swala la hostel sheria na mamlaka ya chuo ndo hudetermine kama wanaweza kubeba wanafunzi wote walio nao kwa kipindi hcho kwenye hostel zao why mwanafunzi akae nje??
Huko nje ndo wanajifunza matebdo ya hovyo wanakabwa wanaibiwa afu tuje kulaumu chuo kutowalinda wanafunzi wake..
Embu taja ni chuo gani bora chenye hostels ambazo zinajitosheleza na wanafunzi wanaruhusiwa kukaa nje???
Wewe kweli akili hauna unadhan anae toa vigezo vya chuo kikuu ni Bibi yako yani unafananisha chuo na sekondari?? Embu kahakiki vyeti vyako kwanza namashaka kama kweli ulimaliza hata hapo Pugu manake sijaona wanafunzi wa pugu wenye uwezo mdogo wa kujenga hoja kama wewe.
Huyo mwanafunzi kama ulikua na uwezo wa kumsaidia ungemsaidia asiombe sauti aombe UDOM na vyuo unavyo vijua wanavyo pokea wanafunzi bila kulipa chochote ,
Umeeleza vyema mkuuWote mnaongea hapa haijui SAUT zaidi mmfika na kuona chuo nakuondoka SAUT ya leo hii 2016 si SAUT ya miaka mitano nyuma ukisema leo saut miundo mbinu yake mibaya leo hii kwa mtu aliyesoma soma hapo zamani kidogo hawezi kukuelewa atakuona wewe ni mnafiki
Ukisema SAUT leo wana garama za ajabu ajabu atakuona wewe ni mnafiki
Kwanini nasema hivi matatizo ambayo unayasema na ambayo wadau wameongezea hapo yalikuwepo miaka mitano iliyopita na si leo
SAUT ya leo miundombinu mbinu mizuri vyoo vipo vingi, maeneo ya kujisomea nje ya mktaba yapo mengi, lecture room zipo za kutosha tena mmefungiwa na viti vya kisasa zamani wenzenu tulisomea kwenye viti vya mbao vya kuhamisha, lecture room chache,
SAUT leo huduma za kibenki zipo mlangoni unalipa ada mlango huu unachukua risiti mlango huu, saut leo si mpaka upande gari uende utawala leo hapo hapo unatoka darasani unaenda utawala
SAUT leo wanafunzi mnalazimishwa kukaa hostel za chuo jamani zamani kupata hostel ya chuo mtu ana honga maana zilikuwa chache alafu mtaani uko hostel hazishikiki bei kuanzia laki 6 mpaka milioni moja na mwenye nyumba anataka cash siyo nusu nusu
Suala la chuo kufunguliwa mapema kwa saut ni kawaida si jambo geni
Kuna kitu mdau kaongelea kuhusu Sijui garama za kila mwaka kujiandikishia hilo suala Siku hizi alipo hizo garama zipo kwenye ada walishaga ziondoa
Kitu kingine mwanafunzi anaendelea na masomo hawezi kuambiwa arudi nyumbani kisa hana ads au boom bado yeye aingie vipindi kama kawaida Siku akipata pesa akajisajili
Mwanafunzi aliyepewa admission saut na hana pesa aende kuongea na uongozi
''WE BUILD THE CITY OF GOD'''
Huu ujinga wako usikurupuke kuuanika humu siku nyingine. Hujui mfumo wa elimu ulivyo mgumu tz. We umeenda kukagua miundo mbinu au kusoma??. Mbona kwenu unalala kwenye kijumba cha tembe haujalalamika. Kijana usitafute sifa za kijinga kilichokupeleka pale ni kitabu usitafute umaarufu kwa nguvu. Kila chuo na kanuni zake we ukishindwa teleza kimya kimya kaombe tena tcu wakupeleke harvad university chuo chenye hadhi yako.Wasalaam.
Hiki chuo ni miongoni mwa vyuo vyenye miundombinu mibovu haswa yaani nakifananisha na Pugu secondary shule niliyosoma A'level.
Najua wengi mtakasirika sana lakini ndo UKWELI, pia haya sio yalionifanya nianzishe hii thread.Yalionifanya nianzishe hii thread ni haya:
1. Hili la kwanza limeshazungumzwa na Rais nalo ni kuwahi kufungua chuo halafu kugoma kupokea wanafunzi bila kulipa ada. Hili jambo linatesa sana vijana hasa wale wa kaya maskini. Sitalizungumzia sana kwa kuwa kwa sasa lipo known kwa kila mtu. Mdogo wa rafiki yangu amefukuzwa chuo mpaka alipe nusu ya ada na yeye anategemea boom hana baba na ***** kajitahidi sana kumsomesha secondary na alipokuwa anaenda chuo alipewa laki mbili tuu, baada ya kuomba akaambiwa alipe laki nne kwanza so ikabidi nimkopee likiingia boom anirudishie. Naomba uongozi wa vyuo vyote nchini na wahusika wakuu mlifanyie kazi agizo la mh.Rais
2. Lakini ujinga level ya degree na sijui wameutoa wapi hawa jamaa wa SAUT main campus Mwanza la kulazimisha wanafunzi kukaa kwenye hostel zao. Kulisikia hili nilikasirika sana na chuo chenyewe kilivyo kibaya, utamlazimishaje mtu kukaa kwenye hostel zenu?
>Je ndo kusema mnawapenda sana au mnafanya biashara kwa lazima?
>Au mnalazimisha kwa kuwa hostel zenu mbovu mnahisi mtakosa watu ?
Embu acheni ujinga bana kama mnataka watu boresheni hostel zenu hizo ambazo zipo kama za secondary yenu ya Pugu.
Rais yupo sahihi hivi vyuo vingine bora vifutwe tuu.
I am product of SAUT siwezi vumilia mtu aongee uongo kuhusu saut ikiwa miye ni zao la saut naye ujua ukweli wa saut kwa vitendo si kusimuliwaWakala wao wewe