Saudia Sasa kuruhusu Ujenzi wa Makanisa

Saudia Sasa kuruhusu Ujenzi wa Makanisa

Mbona nchi zingine za kiislam zilizoruhusu makanisa yawepo hazina shida?

Ulishasikia au kuona wakristo wakiungana na kukubaliana kwenda kulipua msikiti japo mmoja?
Hakuna mwislamu anayeruhusiwa kulipua makanisa Hayo huwa ni mapandikizi na majitu yasiyojua uislamu. Mtafute Omar Suleiman imam nchini marekani uone anvyoishi na watu.
 
Unajua katika vitu ambavyo huwa nashangaa, humu waliotoa pongezi na kusema jina la bwana lihimidiwe na sijui kwake kilagoti litapigwa ni wale walokole ambao huwa hawalikubali kanisa katoliki hata kidogo lakini hapa wanafutahia kanisa katoliki kufanikisha makubaliano ya kuanza ujenzi wa makanisa saud arabia
RC ndo mama na baba yao kwaio mashambuliz yao ndo furaha yetu wazaz wao
 
Ha ha ha! Mkuu naona unatoa ushauri kwa hasira. Jina la Bwana Yesu liinuliwe kwa kumwongoza Papa na wengine wote waliohusika Mkuu.
Cc: mitale na midimu
Wakati wao wanamuita papa mnyama,na ukatoliki Freemason,papa na ukatoliki unatangulia kusafisha njia ya bwana Yesu kiabudiwa kwa Uhuru mahali pangumu,
Sijui nani pinga Kristo kati ya ukatoliki na wao,
Ifike mahali waache ujinga ukatoliki ndo mama wa Ukristo full stop hautaki acha lkn matendo na nguvu vinaonekana,
Sasa sijui wasabato wakijenga kanisa zao huko watajivunia kazi ya pope wanaemuita mnyama au watazira kwenda huko
 
Poleni sana nduguzanguni,kadnali amekanusha,

lakini hata kama,wakiruhusu haitakuwa na impact yeyote,hasa ukichukulia nchi zingine za eneo hilo zinaruhusu ,lakini hakuna impact.
Mfano hakuna nchi wakristo wako huru kuabudu kama syria,iraq na iran,palestina,lakini hakuna impact,
kiufupi dini zote sasa zinapoteza ushawishi kwa watu
Impact ipi unamaanisha
 
Wakati wao wanamuita papa mnyama,na ukatoliki Freemason,papa na ukatoliki unatangulia kusafisha njia ya bwana Yesu kiabudiwa kwa Uhuru mahali pangumu,
Sijui nani pinga Kristo kati ya ukatoliki na wao,
Ifike mahali waache ujinga ukatoliki ndo mama wa Ukristo full stop hautaki acha lkn matendo na nguvu vinaonekana,
Sasa sijui wasabato wakijenga kanisa zao huko watajivunia kazi ya pope wanaemuita mnyama au watazira kwenda huko
Nikuwasamehe bure tu.
Ati wanasema Nabii wao Ellen aliwaagiza kuwa jambo la kwanza kwenye mafundisho yao ni
Kuwahubiri Wakatoriki kuwa ni wapinga Kristo.
Jambo la pili ni kuitangaza Sabato.
Jambo la tatu ni kusoma kwa bidii vitabu vua Daniel na Ufunuo kwa lengo la kuwadhihaki Wakatoriki.
Maswala ya kuihubiri injiri ya ukombozi kwao sio ya msingi sana.
Ndio maana mambo kama ya Ubatizo, Toba, Msamaha wa dhambi, na nguvu ya Neno la Kristo kwa sio hawatilii maanani.
 
Saudia mambo ni motoo, polepole huyu njia nyeupe kwa democracy alafu anaenda speed ya light.

Big up Salman.
 
Mbona sielewi maana wengine humsifu Yesu katika jambo hili na wengine huwasifia marekani na CIA yao.

Halafu wakati mabwana wakubwa wanataka kujenga makanisa huko arabuni mbona tunasikia kwao huko makanisa hayana waumini na huishia kufungwa?
 
Nikuwasamehe bure tu.
Ati wanasema Nabii wao Ellen aliwaagiza kuwa jambo la kwanza kwenye mafundisho yao ni
Kuwahubiri Wakatoriki kuwa ni wapinga Kristo.
Jambo la pili ni kuitangaza Sabato.
Jambo la tatu ni kusoma kwa bidii vitabu vua Daniel na Ufunuo kwa lengo la kuwadhihaki Wakatoriki.
Maswala ya kuihubiri injiri ya ukombozi kwao sio ya msingi sana.
Ndio maana mambo kama ya Ubatizo, Toba, Msamaha wa dhambi, na nguvu ya Neno la Kristo kwa sio hawatilii maanani.
ukiona andiko linaanza na eti unapigia msitari tu kuwa ni udaku na ushabiki usiokuwa na ushahidi wowote. kama vipi mwaga ushahidi hapa nasi tifaidike
 
ukiona andiko linaanza na eti unapigia msitari tu kuwa ni udaku na ushabiki usiokuwa na ushahidi wowote. kama vipi mwaga ushahidi hapa nasi tifaidike
Hapana, kwani kila siku tunawasikia kwenye mafundisho yenu hayo niliyoandika.

Ni ninyi Wasabato mnarudiarudia kilasikukila siku mafundisho hayohayo kwamba
RC na Papa ni taasisi ya upinga Kristo.

Ni ninyi mnaoipigia debe Sabato kuwa ndio Amri kuu kupita zote
Ni ninyi mnaokazania kusoma Kitabu cha Daniel na Ufunuo kuwa ndivyo vinavyo mthibitisha Papa kuwa ni Myama anayemkufuru Mungu.

Mimi nahudhuria sana Ibada na Mihadhara ya Wasabato.
Kila Mhadhara mnaweka tambala kubwa lenye wanyama wanaowakilisha Mpinga Kristo kwanye Vitabu tajwa mkiwalinganisha uovu wa Papa.

Sasa unasemaje neno "Eti" ni la udaku ?
' Ati ' ni kihisishi cha kuonesha hali ya Mshangao, na sio kiambishi kiwakilishi cha Udaku.

Tangazeni injiri ya Bwana Yesu badala ya kuendekeza majungu na fitini kuhusi Ukatoriki.
Kama mtasimama katika kweli Mungu atawaletea waumini wengi.

Kama RC anakosea basi ninyi mhubiri Injiri sahihi na sio kilasikukilasiku kwenye makongamano yenu ni kuwadhihaki RC na Papa tu, mnakera sana kuwatajataja kila wakati kila wakati

Waleteni Wabudha, Wahindi, Waislamu, Warastafarian, Wafreemasoni nk, kwa Yesu.

Mkienda kuhubiri kwa Wabudha mtawaambia nini wakati hao hata Wakatoriki hawawajui ?

Hubirini Injiri achaneni na majungu.
Ondoeni kwanza Boriti katika majicho yenu.
 
hongera kwa kufuatilia mafundisho ya wasabato mkuu japo inaonesha huwa unaenda kujifunza kwa negative attitude pekee
 
hongera kwa kufuatilia mafundisho ya wasabato mkuu japo inaonesha huwa unaenda kujifunza kwa negative attitude pekee

Hapana
Mimi kila anapotajwa Kristo mimi ni muumini wake.
Tena mimi sio Mkatoriki ingawa Wakatoriki ndio walionifundisha Neno la Mungu.
Mimi ni Mkristo. Hivyo nahudhuria kongamano lolote linalohubiri Neno la Mungu.
Mimi nakubali sawa Katoriki walikosea huko nyuma kumbuka nao ni binadamu.
Sasa inatufaa nini kila siku kukumbushana makosa ya Wakatoriki ?

Mada ni hizohizo kilasikukilasiku wakati wajibu wetu ni kuhubiri Injiri kwa mataifa wasioijua Injiri na kuwafanya wawe wanafunzi wa Yesu.

Kazi yetu ni kutiana moyo, kutubu, kubatiza, kutoa unabii, kupoza wagonjwa, kupatanisha, kusaidia, kuomba kwa bidii, kutangaza ufalme wa mbingu kumtambulisha Kristo, nk.

Je tumelimaliza hili ?
Nini Kipaumbele chetu ? Kuwadhihaki Katoriki au kutangaza injili ?

Je mliitwa na kupewa vipawa vya kutangaza makosa ya Wakatoriki ?
Mimi kama Mwanafunzi wa Kristo ni lazima niwaoneshe mnapojikwaa.
 
Back
Top Bottom