Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,247
- 93,771
CIA !! Hawa jamaa wanaakili sijapata kuona .
Kivipi Mkuu? Kwamba Crown Prince Mohammed bin Salman ni zao la CIA? Sijakupata!CIA !! Hawa jamaa wanaakili sijapata kuona .
Halelluya...!!!!Habari za Yesu zinazidi kuenea
Mbona nchi zingine za kiislam zilizoruhusu makanisa yawepo hazina shida?Sio ishu Sana mbona mtume wetu Muhammad amani juu yake aliishi nao kuanzia makkah hadi maddinah ila ilimradi wafuate sheria na kanuni.
Umenielewa kabisaaaaa 100%.Kivipi Mkuu? Kwamba Crown Prince Mohammed bin Salman ni zao la CIA? Sijakupata!
Uko sahihi; zinapokuja issues "ngumu" hao majamaa hawaangalii leo bali wanadili nazo vizazi na vizazi mbele hata kama ni miaka 150 ijayo. Vivyo hivyo Vatican, ndio principles zao za kudili na mambo magumu wakiamini kizazi cha ukaidi ni cha muda tu! Baada ya muda kinapotea na huja kizazi kipya ambacho inakuwa rahisi kudili nacho kwa jambo lile lile lililoshindikana awali.Umenielewa kabisaaaaa 100%.
Fatalia uzao wa huyu familia ,utaelewa zaidi ya hapo Mkuu.
Saizi wanachofanya ni kumtumia tu ,,,fatilia na wa Jordan utaelewa CIA niwatu wenye akili na hatua zao nizapole pole ila nizauhakika.
Kuna namna nyingi za kujibu maswali Mkuu. Unaweza kujibu kwa kuuliza swali jepesi kwa mhusika; akilijibu automatically anakuwa amepata jibu la swali lake la msingi na hatorudia kuuliza maswali ya "kizembe" tena.
Ha ha ha! Mkuu naona unatoa ushauri kwa hasira. Jina la Bwana Yesu liinuliwe kwa kumwongoza Papa na wengine wote waliohusika Mkuu.Asante Roman Kathoric chini ya uongozi wa Papa Paul.
Sasa wale wa Elleni mmeona kazi ya RC.
RC wamewawezesha kwenda kufungua matawi yenu huko halafu muanze kumkashifu Papa na RC aliyewafungulia njia.
Kila tawi la Kristo lina umuhimu wake.
Nendeni sasa mkahubiri Injiri kwa amani. Acheni kashfa zenu huko.
Nazani sasa ni wakati wa kufikiri Mara mbili zaidi,kwani tuendako kila mtu anapicha kichwani mwakeNchi ya Saudia sasa Kuruhusu Makanisa kujengwa Maeneo mbalimbali nchini humo baada ya kusainiwa makubaliano kati ya Viongozi wa Wahabbi na Umoja wa Makadinali wa Vatican
Saudis sign deal with Vatican to build churches: report
Saudi Arabia will no longer be the only Gulf state with no public Christian places of worship, after an agreement was signed between local Wahhabi leaders and a Vatican cardinal to establish a cooperative relationship.
“This is the beginning of a rapprochement… It is a sign that the Saudi authorities are now ready to give a new image to the country,” one of the most senior Catholic officials, President of the Pontifical Council for Inter-religious Dialogue Cardinal Jean-Louis Tauran, told the Vatican News website after returning from Riyadh.
Tauran was in Saudi Arabia for a week in the middle of last month, in a visit that was widely covered by local media, and mostly ignored by the English-language press. He met with the de-facto ruler Crown Prince Mohammed bin Salman and with multiple spiritual leaders.
The final accord signed between Tauran and Sheikh Mohammed bin Abdel Karim Al-Issa, Secretary General of the Muslim World League, a leading Wahhabi NGO, paves the way not only for building projects, but has outlined plans for Muslim-Christian summits once every two years and for greater rights for non-Islamic worshippers in the Gulf kingdom.
Saudi Arabia has a reputation as one of the most religiously intolerant regimes in the world. Non-Muslims are punished for any displays of their religion outside of their homes, while any Muslim who decides to convert to another faith is subject to a death sentence for apostasy. Islamic religious law is imposed uniformly on all those resident in the oil-rich state, regardless of beliefs, while a dedicated religious police oversees compliance.
Nonetheless, there has been an influx of migrant workers to the kingdom in the past decades, and more than 1.5 million Christians are thought to be in the country, mostly from the Philippines.
Attempts to negotiate a more visible status for Christianity by the Vatican date back years and, in 2008, it also announced a potentially “historic” agreement to construct the first modern-day church, a plan that was eventually shelved.
But the possibility of at least a cosmetic display of tolerance appears more likely in the reign of the image-conscious Mohammed bin Salman, who has already abandoned several landmark customs, such as those forbidding women from driving, or requiring them to be under the constant supervision of their guardians.
View attachment 766256
Mungu hutenda kazi zake kwa namna ya ajabu Mkuu. Furaha kuu ni Jina la Bwana Yesu kutangazwa katika mataifa, na kabila, na jamaa, na lugha badala ya kuangalia madhehebu yetu. Huo ndio msingi namba moja wa ukristo - "ENENDENI DUNIANI KOTE MKAWAFANYE MATAIFA YOTE KUWA WANAFUNZI WANGU ...". Nina uhakika hata Vatican kwenyewe furaha yao ndio hiyo kuliko kutukuzwa Papa au mwanadamu yeyote!Unajua katika vitu ambavyo huwa nashangaa, humu waliotoa pongezi na kusema jina la bwana lihimidiwe na sijui kwake kilagoti litapigwa ni wale walokole ambao huwa hawalikubali kanisa katoliki hata kidogo lakini hapa wanafutahia kanisa katoliki kufanikisha makubaliano ya kuanza ujenzi wa makanisa saud arabia
Wahhabism iko sambamba na world order so ni jukumu lao kufanya kama ilivyoelezwa wasiojua watashangaa ila yote yameshasemekana damu itaanza kumwagika sauia mda sio mrefu time will tell let's wait and see how far it will beni kutimiza agizo la enendeni ulimwenguni kote..?
au kuna ajenda ya siri mambo ya NWO?
Hapana sina hasira yetote, nimetoa maoni yangu tu, kazi iliyobaki ni kuandaa kuvuna kondoo wa kiarabu kwa wingi sana.Ha ha ha! Mkuu naona unatoa ushauri kwa hasira. Jina la Bwana Yesu liinuliwe kwa kumwongoza Papa na wengine wote waliohusika Mkuu.
Cc: mitale na midimu