Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,284
- 40,903
Haya kazi kwenu kina Gwajima,Kakobe,Mzee wa upako na wengine,mgodi mpya huo
Acha akili za kiMujahidini mbona nchi za kikristo kama US,Ujerumani,UK wanaheshimu uwepo wa dini za wengine na kuna misikiti.Huyu ndio kiongozi bora kutokea toka kuwepo kwa Taifa la Saud Arabia.Pia anaiweka Saud Arabia katika uwanja mpana kabisa wa jumuiya ya kimtaifa!Huyu dogo huyu wasipopita na kichwa chake time will tell
Inawezekana umesoma ila hujaelewa nilchomaanisha.Jackal said:Acha akili za kiMujahidini mbona nchi za kikristo kama US,Ujerumani,UK wanaheshimu uwepo wa dini za wengine na kuna misikiti.Huyu ndio kiongozi bora kutokea toka kuwepo kwa Taifa la Saud Arabia.Pia anaiweka Saud Arabia katika uwanja mpana kabisa wa jumuiya ya kimtaifa!
km CIA kwann wasijenge makanisa yao ya kiprostant na wajenge roman catholic church?Umenielewa kabisaaaaa 100%.
Fatalia uzao wa huyu familia ,utaelewa zaidi ya hapo Mkuu.
Saizi wanachofanya ni kumtumia tu ,,,fatilia na wa Jordan utaelewa CIA niwatu wenye akili na hatua zao nizapole pole ila nizauhakika.
hilo sio kanisa somebody's else.Vatican imekanusha habari hii, imesema hakuna makubaliano waliyoingia na Saudia kujenga Makanisa nchini humo. Vatican ni watu wenye heshima hawadanganyi.
1. Vatican denies deal with Saudi Arabia to build churches for Christians | Daily Mail Online
2. Vatican ‘denies’ agreement signed with Saudi Arabia includes building churches
3. Building churches in Saudi Arabia has not discussed during the visit: Egypt's Catholic Church - Egypt Independent
During the Vatican delegation’s visit last month, controversial news spread on an agreement signed by Vatican and Saudi Arabia to build churches on its lands, Hani Bakhoum the spokesperson of the Catholic Church of Egypt, issued an official statement on Saturday to clarify that the visit did not include this issue.
“The Saudi press official statement that was released directly after the visit did not mention the topics that have been discussed during meeting including building churches in the Kingdom or not,” the statement said.
The statement of Catholic Church of Egypt points out that this clarification does not confirm or deny building churches in Saudi Arabia, but it intentionally unveils that this issue has not been announced by the official newspapers of the Vatican.
Bakhoum said that the Catholic Church in Egypt has followed with interest the historic visit of the Cardinal Jean-Louis Tauran to Saudi Arabia which included the signing of a joint agreement that will be established comprising two representatives for both sides to organize future meetings. The committee is expected to be held once every two years and its meetings will be alternated between Rome and a city chosen by the Islamic World League.
Saudis sign deal with Vatican to build churches: report
Saudis sign deal with Vatican to build churches: reportVatican imekanusha habari hii, imesema hakuna makubaliano waliyoingia na Saudia kujenga Makanisa nchini humo. Vatican ni watu wenye heshima hawadanganyi.
1. Vatican denies deal with Saudi Arabia to build churches for Christians | Daily Mail Online
2. Vatican ‘denies’ agreement signed with Saudi Arabia includes building churches
3. Building churches in Saudi Arabia has not discussed during the visit: Egypt's Catholic Church - Egypt Independent
CIA wajenge uprotestant ??? Duuhhh basi siku iyo iyo na Yesu anakuja.km CIA kwann wasijenge makanisa yao ya kiprostant na wajenge roman catholic church?
JFK ni mkatoliki,kwanini CIA walimuua mkatoliki mwenzao?CIA wajenge uprotestant ??? Duuhhh basi siku iyo iyo na Yesu anakuja.
CIA...mie naiitaga Catholic Intelligence Agency.....
Wapo for the interest of Catholics na si kingine ,nahawa ndo wapo responsible kuhakikisha ukatolik unasimika mizizi mpaka ambako ukristo haupo.
Subiri tu kuna miaka utashangaa hata DPRK ukawepo Ukristo lkn ukatolik ndo ukaanza .
Hujiuulizi nikwann nchi yoyote /kiongozi yoyote anapoenda kinyume na catholic , huwa anapinduliwa on the spot ??.
Refer ...Libya...refer JFK .
NB ..hayi ni mawazo yangy.
CIA inahusikaje hapaUmenielewa kabisaaaaa 100%.
Fatalia uzao wa huyu familia ,utaelewa zaidi ya hapo Mkuu.
Saizi wanachofanya ni kumtumia tu ,,,fatilia na wa Jordan utaelewa CIA niwatu wenye akili na hatua zao nizapole pole ila nizauhakika.
Lugha baba.Hivi mmarekani ka display role gani hapo???
Au sijui kingereza jamani.
Hapo ninaona cha kushukuru ni huyu dogo ana mrengwe mwingine kabisa.
Mkuu, hapo kwenye bold, nenda kafanye upya home work yako lazima utakuja na majibu tofautiPoleni sana nduguzanguni,kadnali amekanusha,
lakini hata kama,wakiruhusu haitakuwa na impact yeyote,hasa ukichukulia nchi zingine za eneo hilo zinaruhusu ,lakini hakuna impact.
Mfano hakuna nchi wakristo wako huru kuabudu kama syria,iraq na iran,palestina,lakini hakuna impact,
kiufupi dini zote sasa zinapoteza ushawishi kwa watu